Assume ndo wewe!

Kwa mwendo ntakao ondoka nao miguu itakua inapiga kwenye kisogo
 
Ningekemea kwa Jina la Yesu aliye hai, nikifuvunja nguvu zote za majini na mapepo ya kuzimu. kama una Yesu na Yesu yu ndani yako na umesimama katika kweli, hutaogopa nguvu zozote za kiza,(uchawi,ulozi,majini, vinyamkera) kwa maana ushindi utakuwa ni wako.
 
ahahah!..hapo unamfata na kumwambia babu we nenda tu mimi mjukuu wako mtiifu nitakurekebishia jina lako...dawa ya zombi ni zombi!..lol!
 
hiyo kali, babu anarekebisha jina lake kwenye kaburi......hao jama labda walizimia baada ya kujua ni mzimu!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom