Character X
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 331
- 382
WEDAC ni Shirika lililopo Mkoani Arusha linalojihusisha na utoaji wa huduma za kifedha kwa wamama wa jasiria Mali vijijini. WEDAC inanafasi mbili kwaajili ya Assistant Credit Officers.
muombaji awe na Diploma au Degree ya Course yoyote ya Biashara, Au IT. Awe mchapa kazi na mwenye uwezo wakutimiza majukumu kwa wakati bila kulazimu ufuatiliaji wakaribu kupindukia. Awe tayari kufanya kazi mahali popote ndani ya mkoa wa arusha na manyara, na awe tayari kusafiri mara kwa mara.
Kuomba tuna C.V yako na nakala za vyeti kwenda
GENERAL MANAGER
WEDAC
P.O BOX 156 MONDULI
au
wedacadmin@wedac.org
Mwisho wakutuma maombi ni tarehe 13/9/2013 saa tisa jioni.
wanawake wanatiwa moyo kuomba.
Watakao orodheshwa watapigiwa simu.