Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Hellow my kaka. Hujambo? Missing you
Evelyn inabidi nikupeleke jando na unyago.
ha! Bishanga anatangaza vita vya maji maji naona. My love nifoadie hizo pm zake fasta nimuoneshe kisa cha sisiemu kuitwa magamba.
Jua limechomoza na miale yake ya rangi ya dhahabu imetawanyika katika uso wa dunia ikirutubisha mimea,wanyama,binaadamu na vilivyomo.pia rangi nzuri ya kijani iliyotapakaa kila pembe ya tanzania imekuwa kama maua mazuri ya kuwaunganisha wapendanao rangi hii nzuri ya kijani iwe mahsusi kwa my love Evelyn Salt dada zangu wapenzi king'ast Arabela bila kumsahau shemeji yangu wa ukweli charminglady manoah Dr.zero na wengine kibao pia nawe tumia fursa hii kumwambia umpendae good morning.
Good evening my shem.... vp shost angu Evelyn Salt hajambo???
ha ha ha kwanini lakini kisa nimemuanika kibuzi chako Bishanga eeh!!!!!
shost wako yupo poa sana sura na mwili wake tu unaonyesha namna gani yu mzima wa afya njema.
oo'oo'ooh! Tafadhari nakuheshimu sana Mamndenyi afu mna agenda ipi wewe na mumeo Vin Diesel