Assad alalamika dhidi ya mabomu yanavyozidi kushushwa Syria

Wasio na hatia watakuwa wamekufa wengi sana hadi sasa katika haya mashambulizi. Ni muhimu jumuia za kimataifa zitizame na hili swala wasi engemee sana upande mmoja.
 
Soma nilicho andika kwanza kuhusu uhusiano wa NATO na Urusi linapo kuja suala la ISIS wote wana lengo moja,sasa kuna mantiki gani kushambulia ndege ambazo hazijashambulia ndege zako au kuonyesha huwasama wa kutaka kushambulia airbases zako,kumbuka ISIS wapo Syria na Urusi ilikuwa inawambia Nchi nyingine specifically za NATO kwamba washirikiane kutokomeza ISIS hilo amulisemi mnakazania eti kwa nini S-400 hazikutungua ndege za Uingereza!!

Mkuu unapoteza muda na huyo? Kama hawezi ku argue kwa hoja bali hisia za kishabiki unatarajia akuelewe?
 
Halafu waSyria wakienda kulipua Marekani walalamike kweli? Huu ni uchokozi na ni kinyume na haki za kinaadamu! hawa ndio MAgaidi namba moja wanaosababisha machafuko na mauwaji ya watu wasio na hatia!

Kufanya hivi kunawafanya wananchi wa Syria kupandwa na hasira kwenda kulipua wananchi wa nchi hizo chokozi ambao hawana hatia! Mola atulinde na awalinde wananchi wasio na hatia Dunia nzima. na Ajaalie haya yaishe
 
Soma nilicho andika kwanza kuhusu uhusiano wa NATO na Urusi linapo kuja suala la ISIS wote wana lengo moja,sasa kuna mantiki gani kushambulia ndege ambazo hazijashambulia ndege zako au kuonyesha huwasama wa kutaka kushambulia airbases zako,kumbuka ISIS wapo Syria na Urusi ilikuwa inawambia Nchi nyingine specifically za NATO kwamba washirikiane kutokomeza ISIS hilo amulisemi mnakazania eti kwa nini S-400 hazikutungua ndege za Uingereza!!

We dogo akili zako fichu sana, unadhani S-400 kuna ndege inaweza penya pale kasome news Putin alisema nini tukiona ndege yoyote ile inaweza kutuletea mdhara sisi tunaitungua sa ndege ya UK ili fanya nini zaidi ya kuangusha mabom sehemu walizo kimbia wajukuu wa kina McCain (ISIS). Asaad kulalamika ni haki sababu yeye ni Rais wa Syria uingereza itakubali Syria akawapige ISIS kwenye anga lake bila amri yake?

khe! mmebadilika tena?! si mlisema kwamba urusi kakasirika baada ya kudunguliwa na wababe uturuki na kaamua kuzuia anga ya syria kutumika na nchi zingine!
 
Hawa Pro-Urusi+Putin wanamatatizo sana na hawajiamini,walisema hapa kuwa baada ya kuwekwa hizo S-400 hakuna ndege yeyote itakayokatiza anga la Syria bila idhini ya Russia sasa hivi wanageuka. Labda hizo S-400 zimewekwa kwa ajili ya kudungua Ndege za ISIS.
 
Watu wanashabikia vita kama ushabiki wa mpira...Oooh sijui S-400 ni best DS,ukimuuliza mbna hazifanyi kaz,wanakujibu cjui makubaliano,Me nlishasema michezo ya pale middle east ina wenyewee...
Kama mrusi anashindwa kumlinda allie wake kwa nguvu,anamwacha watu wanamchezea tuu hovyo kaa shamba la bibi...cheki US anavyolindaga allie wake kwa nguvu,south korea,Taiwan,na Kuwait kipind cha gulf war...cheki french kule Mali anavyojitoa kwa nguvu zote...kama wewe ni super powet u hav to proove that kwa kulinda allie wako....Just put boots on ground,go full attack to protect ur allie....Ssa Russia anaogopa nni?..au hana Hela?
 
Hapana huyu mbwa ndio aliowakaribisha wote hao asiseme lolote
 
its Assad against coalition forces,this signal the red light to Assad regime,sooner or later Assad will be overthrown
 
Assad aondoke madarakani,bila ya hivo napendekeza NATO imulipue kwani amekuwa chanzo cha hayo yote.

Nenda kasome chanzo cha mgogoro nchini syria. Usibebwe na ushabiki.
 
Watu wanashabikia vita kama ushabiki wa mpira...Oooh sijui S-400 ni best DS,ukimuuliza mbna hazifanyi kaz,wanakujibu cjui makubaliano,Me nlishasema michezo ya pale middle east ina wenyewee...
Kama mrusi anashindwa kumlinda allie wake kwa nguvu,anamwacha watu wanamchezea tuu hovyo kaa shamba la bibi...cheki US anavyolindaga allie wake kwa nguvu,south korea,Taiwan,na Kuwait kipind cha gulf war...cheki french kule Mali anavyojitoa kwa nguvu zote...kama wewe ni super powet u hav to proove that kwa kulinda allie wako....Just put boots on ground,go full attack to protect ur allie....Ssa Russia anaogopa nni?..au hana Hela?

Putin ana maneno mengi kama Mwajuma Ndalandefu,Ghadafi alikuwa mshirika wake muhimu sana mwisho wa siku akamwacha akapigwa mpaka kupinduliwa na kuuawa. Syria nae anaiacha inakula kichapo wazi wazi lakini yeye anaangalia tuu anachofanya ni maonyesho ya silaha zisizotumika,mpaka Leo najiuliza hizo S-400 alizipeleka Syria kutungua ndege za ISIS?
 
Back
Top Bottom