sitaki ushahidi! najinywea coffee mie!
worrrrddddd my shem! naja baba, umeniandalia nn kingine, au ni coffee tu??Come zis way shem yunywepo coffee siye!
mi mwenyewe karibu atanishinda! kila kukicha anataka kuoa, juzi kati alitaka kumkagua dada mmoja humu anaitwa AmKATRINA, we kufika kwenye chumba cha ukaguzi kumbe demu ana niniliyu mbili na ya kike na ya kiume! lolMzima mamii,
Mbona unamkongoroa Asprin??
Yaani umemletea wanawake wa kuoa wamejaa samtrela???
Au siku hizi anaoa kwa macho tu?
mi mwenyewe karibu atanishinda! kila kukicha anataka kuoa, juzi kati alitaka kumkagua dada mmoja humu anaitwa AmKATRINA, we kufika kwenye chumba cha ukaguzi kumbe demu ana niniliyu mbili na ya kike na ya kiume! lol
mmmhhhh kelele za chura tu hizo.................! enhe kakupa vitu vipi?Na mjaribu muone,mwenzenu nna hawara anaitwa Havintishi binti Kengeulaya kwao kibiti,jaribuni muone kama hamjahama jeifu.
hayakuhusu, acha ufukunyuku!Mlikutana wapi? Buibui gest?
nta zimejaa! labda utupeleke ccbrt tutibiwe kwanza! mbombo ingafu!Nye.ge mbaya,shauri lenu.
mmmhhhh kelele za chura tu hizo.................! enhe kakupa vitu vipi?
hebu tupa jarife nione mistari yako??Yananihuu,hivi hujui nimeanza kukumaind?