asprin uko juu

kwani ule muda kuna assistance inahiitajika kweli?? acha kabisa!!

kawaida anayetoa pasi kumpa mfungaji, ndo tunasema ameassist apo....umenisoma shemeji cacico
 
Last edited by a moderator:
Asprin sugar wangu, si ni hommie wako huyo, kwani kuna ubaya! na siwezi badilishwa mie kwani mie madaktari wa iran??? am only yours! mwahhhhh!
Thank you my love..



Hebu nigee kifua chako nikupe busu langu



Afu upokee na zawadi hii maalum kwako mpenzi wangu....




Mwwwwwaaaaah!!
 
na ni mtamuje sasa....shemeji cacico leo sirudi kwetu nasema....ntalala na wewe....hahahaha:eek2:
jamani gfsonwin yupo wapi? mbona mitihani kha! jana nilimwambia kabisa akirudi hm azimalize zote, ona thatha!
 
Last edited by a moderator:
umenawa mikono?? si unazijua sheria za ukoko?? kula na maji ya chumvi, so pitia baharini unawe kisha uje!

eeh! niko huku Uvinza, chumvi ndo mwake, kwa hiyo usijali kikwazo hicho nimekivuka.

Labda tuu nikose usafiri
 
eeh! niko huku Uvinza, chumvi ndo mwake, kwa hiyo usijali kikwazo hicho nimekivuka.

Labda tuu nikose usafiri
bombu ntakuletea usafiri usijali kabisa
 
Last edited by a moderator:
shem Kaizer mbona nimekusoma muda tu! jamani naombeni kujuzwa gfsonwin yupo wapi, kabla sijaanza maandamano?

Ndo maana shemeji cacico nakuaminia kumbe hukuhitaji muda mrefu kiviiile.....sasa si unajua supu ya mbwa raha yake uinywe ikiwa bado moto?:eek2:
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…