Yamani Kate ndo nini tena? Mbona sura yako haionyeshi kama we ni mkasirikaji kiviiiile?
Basi haidhuru, karibu lunch.
Sikujua kama unakunika,basi nitaendelea hivo hvoHabari yangu iko Bam bam,
cjui wewe Mwenzangu.
Umenikunajeee...!!! Pale.
ahsante kwa lunch babu, mi ile picha imenitisha sana jamani. Kuna ujumbe wangu nimempa girlfriend wako akupatie
Na mbona nshakufanyia? Haya kamata tena....Ila usisahau kuja kukaguliwa. Kisha kanusha usemi wako kuwa mimi ni mtu wa matusi na nastahili kuswekwa lupango....
Sikujua kama unakunika,basi nitaendelea hivo hvo
we nawe!! mbona ur writings sounds familiar lakini?? hebu rudia ID yako ya zamani bwana, nini lakini?? kuhusu kumPM mume wa mwenyewe, ruksa mamito, wala usitie shaka, Asprin namjua, anajua kupembua, hali vyote so shaka ondoa!sijaelewa nifanyeje cacico. Vigezo na masharti vya mume wa mtu nitavizingatia nisije nikakojoa dagaa bure
fanya kama nilivyokuelekeza! ukifanikiwa unijulishe pia!ahsante kwa lunch babu, mi ile picha imenitisha sana jamani. Kuna ujumbe wangu nimempa girlfriend wako akupatie
Hapo wala usijali ila sijui itakwaje ukikoleaTena n'nakunika kama Nazi ya Bwagamoyo.
Ila Usije tia Nazi kwenye supu,
Utaharibu maana nzima..!!!