hiyo like maana yake ulikopeleka mboga ndo ukale huko huko
Nimechekaje?
Haaa love tumeokota wote kuni na moto tutaota wote baby come zis way
The secretary habari? haya nichek kwenye pm nina ujumbe wako ma dearest. HWE nsamehe kwa kuwa quite for some days,ni pm basi unambie umenijua vipi?
ni pm basi unambie umenijua vipi?
he! The secretary na Remmy mmeshajuana tayari?:eek2:
ni pm basi unambie umenijua vipi?
ni pm basi unambie umenijua vipi?
mmmmhhhhh, speechless. dawa yako uone practically!swtlo, basi yaishe me love you sana tu. Halafu usiku wa jana umenipa raha weye, hadi sikuwa natamani pakuche aiasee..........lolest mfyonzo wako ni kiboko lol!.....................ngoja sijui ni mmegeapo msiri wangu cacico kidogo japo apatepo raha manake nafkir huko kwa Asprin mabusu kama haya hayapati jamani.
mi love you sana tu ma swtlo. nakupendaje??????????
mmmmhhhhh, speechless. dawa yako uone practically!
he mke mwenza upo?
Yuko ukraine alikwenda kumbebea balotelli jezi.
Khaa! Kwahiyo ndo ushanimwaga? Nani atanipikia ile my favourite food jamani?bora arui upesi, upweke unanisumbua..... au nikupe wewe nafasi?
Tena mtabiri kabisaHahaha dogo wewe ni mganga ww kienyeji?