[emoji85] kwani babu mi ni nani wakoWe hupendi kubembelezwa? Hebu twende PM kwanza nikakubembeleze vizuri
Mjukuu msumbufu...[emoji85] kwani babu mi ni nani wako
[emoji52] [emoji52] na kwako siji tenaMjukuu msumbufu...
We tangu jana unanichomesha mahindi PM... huu usumbufu utaisha lini?[emoji52] [emoji52] na kwako siji tena
Nigawie kama unaweza[emoji125]We tangu jana unanichomesha mahindi PM... huu usumbufu utaisha lini?
Usipokuja mi nakugawia laana tu. Shauri zako...
Afu jinsia yako ikibadilika usije ukanilaumu...Nigawie kama unaweza[emoji125]
Wala usinichonganishe... Mimi nilimaanisha miss... Natania tuu[emoji23] [emoji23]
Yule mchepuko wa hiki kibabu?
Asprin huyu ni Yuleyule Sky Eclat au hili ni ingizo jipya?[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji102] [emoji102] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] View attachment 701453
Inatisha hatari, huyu nikimuona mniandalie tu kaburi hakuna hata haja ya kunipima kama nimekufa, mkichelewa naoza.
Yani hako kabenchi kameokoa wengi sana na magharama ya vyumba vya wageni
Sasa kama hawa hawana wasiwasi kabisa...
View attachment 701749