dah! sorry kamanda nilikuwa press conference kuelezea umuhimu wa mirungi kwa jamii. Mimi naona location, Dispensary inaweza ikafaa lakini acha tumsubirie fellow tablet aspirin amwage razi pia kabla kufikia konklusion, Katiba ya tablets inahimiza sana maamuzi ya pamoja.
vidumu vidonge! vidumuuuuuu!
condomz ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
dalili moja ya ile kitu ya miezi tisa ni kizunguzungu, tuandae vizawadi? halaf nani mhusika?
heheh hizi ni tablet mpya,Aisee hii single mpya ya mitu toka kongo FM Academia imepakuliwa katika studio ipi?
dah! sorry kamanda nilikuwa press conference kuelezea umuhimu wa mirungi kwa jamii. Mimi naona location, Dispensary inaweza ikafaa lakini acha tumsubirie fellow tablet aspirin amwage razi pia kabla kufikia konklusion, Katiba ya tablets inahimiza sana maamuzi ya pamoja.
vidumu vidonge! vidumuuuuuu!
condomz ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
Gamba limekakamaa siwezi kulivua.
Fellow Tablet, Asprin, Krolokwin, Fellow Tablet1, Quinine.....!
ina maana una gamba la kakakuona?
Khaaaa! hapo red, Keko wenyewe juzi wamempa ujauzito mwanaume. acha tuandae kamati ya kutatua huu utata.Mai Felo tableti, kabla hujaingia mkenge kama ule ulioingia fesibuku? umeshaulizia hii Fello Tablet inatibu jinsia ipi? Tusije tukaiweka wodi ya watoto tukajikuta tunakabiliwa na kesi ya ubakaji.
Hiyo kazi nakuachia mwenyekiti, katibu wa vidonge nachonga penseli kwa ajili ya kuandika minitsi.
hizo hizo za tandale, wagonjwa wenyewe humu usione hayo mashauzi mengi, wengi wao wanapatikana uwanja wa fisi. ni mikwala ya keyboard tu hii.Pole na majukumu Kamanda lakini mimi na TF, Fellow Tablet tulikuwa pamoja hapa kuliendeleza hili libeneke naona itakuwa poa sana kwa kuwa umetia timu
Disipensari gani kamanda hizi za kata au .... maana
nyie mnatusumbua hivi...ngojeni tu....hapa naanza kuchambua taratibu ni nani hayupo jukwaani leo......nitawajua tu
dah! yaani dawa zimeingia sokoni leo tayari zimesababisha maafa. khaaa! ujifungue salama mamaWe andaa tu zawadi hakuna mbaya, wahusika ni Fellow tablet, Fellow tablet1 na TF.
Honey, usije ukanikonfyuzi na hawa ma tablets wengine tafazali. Si unaskia washatumia jina la pharmacy kumtongozea Lily flower?ina maana una gamba la kakakuona?
dah! yaani dawa zimeingia sokoni leo tayari zimesababisha maafa. khaaa! ujifungue salama mama
We andaa tu zawadi hakuna mbaya, wahusika ni Fellow tablet, Fellow tablet1 na TF.