Long time enzi hizo radio za FM ndo zimeanza Tanzania, nilikuwa na radio yangu ndogo ya kuweka mfukoni na headphone za kubana masikio nikiingia kusoma class usiku naweza kufika saa nane bila kugundua.
Asprin hapendi kushika sana simu mikono inatetemeka na Leo wkend hapo lazima kuna kibinti kinanyatia mafao kimekuja kumfanyia masajiAsprin ameshamezwa, Mtu kapata maumivi ya kichwa akachukua glasi ya maji akameza.
nimwambieje mama?Mfungashie Ujumbe umpelekee....kabla hakujakucha...
Ngoja nimtafute kaunta ya huku swahiba Kaizer umemwona babu Asprinhuyu Asprin atakuwa kaunta ya juu sijui ya wapi maana leo hayupo kijiweni.
Jirani huyu wifi yako mmesgampitisha au anapitia mchajato?Ngoja nimtafute kaunta ya huku swahiba Kaizer umemwona babu Asprin
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbebee ujumbe Kama ulivyotoka kwa Sky...usiongeze kitunimwambieje mama?
Ushafika...nawe hata kauzi au sijakushika?Mbebee ujumbe Kama ulivyotoka kwa Sky...usiongeze kitu
umwambie sasa wewe maana yupo kaunta ya huko uliko.