Njari
Kama wameisuka wabaya wake, lazima waitengeze hivyo, maana kwa nchi yetu skendo hiyo ndiyo wanapenda sana kutengenezewa viongozi wa dini na wa siasa, nadhani labda ndio yenye impact kubwa sana kwa jamii yetu ya watanzania.
Kwa taarifa nilizonazo mimi aliyevamiwa na mambazi ni mdogo wake ambaye pia ni mchungaji wa kanisa la ufufuo na uzima Mwanza. Jina lake Anaitwa SAMSON GWAJIMA
Alihojiwa jana kabla hajapoteza fahamu!! Uwe unasikiliza wapo radio na rfa utapata news zote saa kumi na mbili na nusu mpaka saa moja na robo weka rfa na saa moja na robo mpaka saa mbili weka wapo radio utapata habari nyingi nzuri ambazo hazina upendeleo wala hazipotoshi!!

Ni mdogo wake anayeongoza kanisa la ufufuo na uzima mwanza!! Polisi wanasema sio mara ya kwanza!! Jamaa yuko vizuri nimesikia akihojiwa aliwapiga karate wakasambaratika ingawa walimjeruhi vibaya!!!