Askofu Ruwai'chi chukua tahadhali

Unasemaje hivi we unamchukuliaje askofu wa kikatoliki? Sio kitu rahisi hivyo. Serikali yenyewe inajua. Hawawezi hata kufikiria au kuwaza kumteka hata akae kibalazani peke yake usiku wa manane. Ni kuchukua tu taadhari zile za kawaida kama ajali za kusababishwa au vyakula lkn sio kutekwa.
 
Unasemaje hivi we unamchukuliaje askofu wa kikatoliki? Sio kitu rahisi hivyo. Serikali yenyewe inajua. Hawawezi hata kufikiria au kuwaza kumteka hata akae kibalazani peke yake usiku wa manane
Usiwachukulie Samia The Killer na majambazi wake kama watu wenye akili ya kawaida. Wangekuwa na akili ya kawaida hata Father Kitima wasingemshambulia!
 
HAMNAGA HYO.CATHOLIC BISHOP NI NAMBA NYNGNE
 
CCM wako desperate kipindi hiki wanaweza kufanya chochote kile.
 
CCM wako desperate kipindi hiki wanaweza kufanya chochote kile.
 
Sjui kama anawajua maaskofu wa kikatoliki vizuri...ukimteka huyo ni sawa sawa umemteka papa kule Roma Italian..vita itakayokushukia ama kuishukia nchi watu watastaajabu
 
Sjui kama anawajua maaskofu wa kikatoliki vizuri...ukimteka huyo ni sawa sawa umemteka papa kule Roma Italian..vita itakayokushukia ama kuishukia nchi watu watastaajabu
Watu wanajiongelea tu. Tutatekwa sie wengine lakini kwa askofu big NO.
 
Huyo hawawezi hata kudhubutu...
Labda watumie njia za kuweka sumu kwenye vyakula au vinywaji...

Kuteka wanaweza kuteka Wachungaji, Mapadre, na wengineo
Usifikiri watekaji hawafikirii mara mbili...japo hawana akili
 
Hhahahaa
 
Mkuu hujasikia padre hajulikani alipo kule songea kwa sasa tuna majambazi kabisa ndani ya tanganyika
 
Sjui kama anawajua maaskofu wa kikatoliki vizuri...ukimteka huyo ni sawa sawa umemteka papa kule Roma Italian..vita itakayokushukia ama kuishukia nchi watu watastaajabu
Hilo wanalijua wenye akili (not these idiots)!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…