singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,538
Nafikiri au niseme naamini Serikali inajaribu kuwapa reassurance wananchi na viongozi mbalimbali kuwa hospitali ya moyo ya JK inaweza, kwa hiyo watakapokuwa wananyimwa vibali vya kwenda nje ya nchi kuwe na reference ya mtu maarufu.Inawezekana kabisa kuwa inatosha. Askofu Pengo akumbuke kuwa hata Hositali ya Temeke, Mwananyala, Ilala zinatosha. Hata vituo vya afya vya vingunguti, mbagala n.k. vinatosha pia. Suala ni uwezo wa kufedha wa kwenda huko. Kama huna kitu mfukoni au huduma za afya ziko mbali hata miti shamba inatosha. Gharama alizotumia Askofu wetu ni wangapi wanazimudu hapohapo Mhimbili?
pengo alienda muhimbili kama mgonjwa au mtafiti? jibu ni alienda kama mgonjwa, sasa asione huduma aliyoipata ya ki V.I.P kutokana na umaarufu wake na ushawishi wake akadhani kila mtanzania anafanyiwa hivyo akasema inatosha, anajiharibia heshima yake sana
Huwezi kuelewa kanisa catholic na serikali kaa kimyaIla nilishangaa sana,kuandaliwa press conference hospitalin,yawezekana Pengo ni mtumishi wa Serikali.
hahaaaaaaaIla nilishangaa sana,kuandaliwa press conference hospitalin,yawezekana Pengo ni mtumishi wa Serikali.