Umwa na wewe moyo tukupeleke ukitoka useme huo utumbo.Napata mashaka na mtumishi wa Mungu Pengo kujua kigezo alichotumia kutoa kauli hiyo.
Hivi anajua kuwa huduma aliyokuwa anapewa yeye pale haina tofauti na ya Rais kulingana na nafasi yake?
Jee anadhani hata babu toka Kimanzichana au kinda wa daladala naye atapata picha ya Muhimbili kama yeye?
umeambiwa taasisi ni kwa watu wote haibagui unaleta blah blah,ugua bas ukajionee huduma sio lazima upinge kila kizuri chavserikali