Askofu Mwamakula: Ole kwa Taifa lisilotenda HAKI kwa watu wake! Unamkamata mtu eti upelelezi haujakamilika karne hii?

Maaskofu na wachungaji wengi pamoja na injili wanazo taaluma zingine ikiwemo ya sheria , udaktari , ualimu nk
Ndio maana maaskofu na wachungaji Kama hao wamechanganyikiwa akiwemo Askofu mwamakula.Mshika mawili Moja humponyoka.They are jacks of all trades but master of none
 
Kazi ya kiongozi wa dini sio kuongelea maovu Ni kuongelea mambo ya Mungu
Hapo kwenye Bold ndio msingi hasa wa watumishi wa Mungu, watumishi wa Mungu kazi yao kubwa ni kuwahubiri watu wao waache uovu ili siku moja waende wakamuone muumba wao, kwa mujibu wa mahubiri yao ni kwamba ukiwa mtenda maovu then hutamuona Mungu so mtumishi yeyote asie hubiri habari za maovu huyo ni mtumishi wa shetani na sio Mungu
 
Ili nchi iendelee inahitaji kila mtu abobee kwenye eneo lake mfano mkulima alime Sana, injinia afanye Kazi za uinjinia Sana, askofu afanye Kazi za Uaskofu Sana nk ukiona Askofu anavua kofia la Uaskofu kageukia fani ya Sheria au upelelezi ujue nchi inaanza kuchanganyikiwa na kuendelea itakuwa vigumu
Popoma
 
kazi ya kiongozi wa kidini ni kukosoa matendo mabaya ya wanadamu popote pale wanapoyatenda serikalini,misikitini,makanisani,nyumbani ,chumbani,chooni nakadhalika .wewe huna dini
 
Ili nchi iendelee inahitaji kila mtu abobee kwenye eneo lake mfano mkulima alime Sana, injinia afanye Kazi za uinjinia Sana, askofu afanye Kazi za Uaskofu Sana nk ukiona Askofu anavua kofia la Uaskofu kageukia fani ya Sheria au upelelezi ujue nchi inaanza kuchanganyikiwa na kuendelea itakuwa vigumu
Wa kwanza anayehusika na hayo maandiko ya askofu ni wewe ndio maana umeanza kuweweseka.omba toba
 
Back
Top Bottom