Askofu Mdegela awataka watanzania kuwapuuza ukawa

Askofu Mdegela awataka watanzania kuwapuuza ukawa

Hivi Lissu alitukana matusi gani? Kusema Nyerere siyo Mungu ni tusi? Nyerere siyo Mungu na hata siku moja hatakuwa Mungu. Wanaomtukana Lissu kwa kusema Nyerere siyo Mungu ndiyo haswaa mawakala wa Shetani. Siyo tu mawakala bali ni watumishi waaminifu wa Shetani.
kinauche, alichokisema Lisu kuwa Nyerere sio Mungu ndicho anachokisema Mdegela kuwa akina Jaji Warioba sio miungu na yeye ndiye kawadhalilisha kwa kuwalinganisha na wafagizi.

Huyu jamaa bonge la fisadi, Gagula na Zipu wazi ana vitoto mtaani vinaenea hiace
 
Askofu mwenyewe si ni mjumbe wa bunge maalumu mbona hii hoja hakuitolea kule mjengoni? Kama wajumbe wengine wanaruhusiwa kutumia nyumba za ibada kupeleka ushawishi wao kwa wananchi kwanini wengine wanyimwe kutumia zao yaani majukwaa ya siasa?
 
UKAWA watapingwa kila kona na wapenda amani nchini. Ila mawakala wa shetani watawapa mbeleko

Ben Saanane rejea yale mazungumzo yetu, kuwa Lissu alikosea sana kusema yale maneno alichosema hata kama kina ukweli kiasi gani, kinapokolewaje?, damage ni kubwa kwa cdm, na hizi damage ni progressive....kama alivyofanya huyu pastor

sasa kwa level ya askofu kamwelewa Lissu kama katukana, je kule ngudu, nyakanazi, rukwa na ileje mbeya wamepokeaje??

Lisu anapaswa kulaaniwa kwa kiasi kikubwa sana ahsante askofu kwa kumwambia ukweli Lisu alivyotukana matusi kwa kumweleza bila kificho hali hii ikiachwa itazoeleka ambiwe ili aache ujinga wake.

Iko siku mutawapongeza vichaa kwa kushika vinyesi mukidhani wanasafisha jiji.

Huyo Mdegela munamfahamu? Mumesahahu kashfa yake ya uzinzi kwa wake za watu. Mtu wa aina hiyo ukimpa ahadi ya pesa za kuhonga atakataa kukoleza maneno?
 
Askofu mwenyewe si ni mjumbe wa bunge maalumu mbona hii hoja hakuitolea kule mjengoni? Kama wajumbe wengine wanaruhusiwa kutumia nyumba za ibada kupeleka ushawishi wao kwa wananchi kwanini wengine wanyimwe kutumia zao yaani majukwaa ya siasa?

Hapana, huyu si miongoni mwa wale 201! Hata Kikwete mwenyewe alimuona hana sifa! Aliyepo kwenye bunge la katiba ni Askofu MTETEMELA ambaye naye siku hizi ameanza kupoteza umakini! MDEGELLA NI TATIZO KWA KANISA NA USTAWI WA TANGANYIKA!
 
Iko siku mutawapongeza vichaa kwa kushika vinyesi mukidhani wanasafisha jiji.

Huyo Mdegela munamfahamu? Mumesahahu kashfa yake ya uzinzi kwa wake za watu. Mtu wa aina hiyo ukimpa ahadi ya pesa za kuhonga atakataa kukoleza maneno?

.
Mbona iko obvious huyu mdegela ni fataki.
Hana maadili mema ya kumwezesha kuwasemea wananchi.
Kipofu kama huyu ataweza je kuona maoni ya wananchi walio wengi yakibakwa na genge la watawala wachache ilhali nae ni mbakaji wa visichana? Mamlaka ya kukemea maovu aliipoteza na ndio maana sasa tunamuona akitumikia tabia ya shetani kutokuweza kumtoa shetani mwenzake.

.
 
Back
Top Bottom