clementsanga
Member
- Jul 15, 2013
- 65
- 27
ASKOFU Mdegela atema cheche asema hana imani na Bunge Maalumu la Katiba (BMK) na awataka UKAWA warudi wakapambane ndani ya bunge asema kama wameshindwa kusema waliyonayo ndani ya bunge warudi nyumbani wakalale na siyo kuja kueneza chuki kwa wananchi. Ameyasema hayo leo kama salamu zake za Pasaka kwa wananchi mjini Iringa.