GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,548
- 108,882
Ningeshangaa kama Wewe usingenielewa.Nimekuelewa mkuu!
Ningeshangaa kama Wewe usingenielewa.Nimekuelewa mkuu!
Ileje ni wilaya iliyopo mkoa wa Songwe!W
Wewe utakuwa Mangi
They are better than yours who are pigs!Same to the one who gave birth to You
Pwani Kibaha tunataraji viwanda 200
Japo kuna machche Magufuli alifanya vizuri, lakini overall performance, Mkapa and Kikwete were 10 times better than Magufuli. Hata Samia ni much better than Magufui. Hapo simwongelei Mwalimu Nyerere ambaye huna la kumlinganisha na Magufuli.ukiuliza sababu ni ipi Edo angefanya makubwa zaidi hakwambii, Edo na Mzee wa Msoga policy zao ni zile zile, hapa ungekuwa ni mwendelezo wa kuteteana tu
Mwendazake mwacheni tu, yule alikuwa mtu na nusu.
Kwa vigezo vyote, Lowasa was much better kuliko Magufuli. Hata majimboni kwao, huwezi kulinganisha alichokuwa amefanya Lowasa jimboni kwake na alichokuwa amefanya Magufuli akiwa mbunge huko Chato.Bahati nzuri wote wawili, Lowassa na Magufuli, wamewahi kuwa Wabunge na Mawaziri kwa nyakati tofautitofauti tena kutokea chama kimoja:
• Nani alikuwa kiongozi mzuri jimboni?
• Nani alikuwa kiongozi mzuri wizarani?
• Nani ni mwadilifu na mzalendo zaidi kwa nchi yake?
CC brazaj
Chato makaburiniPwani Kibaha tunataraji viwanda 200
Ina maana 2020 hakupiga kura?Askofu mstaafu wa KKKT Dayosisi ya Iringa Dr Mdegela amesema maaskofu wasifikiri kwamba Vijana wa leo hawajitambui kama wale wa zamani.
Mdegeka alikuwa anaongelea mgogoro wa Dayosisi ya Konde na kusema KKKT wamebobea kwa kuvunja Katiba zai wenyewe na hawana mifumo yiyote ya kushughulikia migigoro pindi inapojitokeza.
Amesema hata vyama vya siasa vina migogoro ya kikatiba ndio maana Chadema hawajui wabunge wao wa viti maalumu wameingiaje bungeni na CCM nako haieleweki aliyeshika namba 6 kura ya maoni kafikaje bungeni.
Kadhalika Mdegela amesema yeye mwaka 1995 alimchagua Mrema kwenye uchaguzi mkuu na baadae aliitwa na Mkapa na kupigwa mkwara.
Hata hivyo 2015 alimchagua Edward Lowassa.
Askofu Mdegela amesema hayati Magufuli amefanya kazi kubwa lakini mzee Lowassa angefanya kazi kubwa zaidi.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
2015 CCM ilishindwa vibaya snBila ya Nyerere na vyombo vya usalama kuingilia uchaguzi wa 1995, Mrema angeshinda. Mrema aliishtua system vibaya sana.
Magufuli amewahi kuwa Naibu Waziri na Waziri wa:Kwa vigezo vyote, Lowasa was much better kuliko Magufuli. Hata majimboni kwao, huwezi kulinganisha alichokuwa amefanya Lowasa jimboni kwake na alichokuwa amefanya Magufuli akiwa mbunge huko Chato.
Magufuli alifaa kufanya kazi kama supervisor. Angalia alivyokuwa Waziri wa Kikwete alivyokuwa anasimamia miradi ya barabara. Akiwa Waziri, wakati wa Kikwete, zilijrngwa 12,000km za barabara za lami. Lakini alipokuwa Rais, zilijengwa 2,800 tu za barabara za lami. Magufuli alifaa kwa kazi za kutumwa lakini siyo kupanga.
Umee!eweka vizuri!Magufuli amewahi kuwa Naibu Waziri na Waziri wa:
• Ujenzi
• Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
• Maendeleo ya Mifugo na Samaki
Lowassa amewahi kuwa Naibu na Waziri wa:
• Mazingira na Mapambano dhidi ya Umasikini
• Haki na Mambo ya Bunge
• Maji na Mifugo
Sasa fanya a comparative analysis ya mambo waliyoyafanya kila mmoja kwenye wizara zake... Achana na hizo chuki unazoziongelea.
Hatuwezi kuwalinganisha kwa Uwaziri Mkuu wakati mmoja hajawahi kuwa Waziri Mkuu ama kuwalinganisha kwa Urais wakati mmoja hajawahi kuwa Rais.
Tuwatendee haki mkuu.