Askofu Malasusa: Polisi na TRA wanaokoka wengi siku hizi na hii ni habari njema kwa Amani na Uchumi wa taifa

Hayo yamesemwa na askofu wa Dayosisi Mashariki na Pwani wa KKKT Dr Alex Malasusa

Askofu Malasusa amesema inapendeza kuona askari polisi wengi wamemfuata Yesu Kristo kama Bwana na mwokozi wa maisha yao

Askofu alikuwa Ibadani katika kanisa la Goba

Source Upendo tv
Hata MWENDAZAKE alimfuata YESU na Kulitaja sana Jina la MUNGU ILA aliyowatendea CHADEMA ni MUNGU TU anayajua
20220125_194452.jpg
1638022070283.jpg
609258120.jpg
 
Hayo yamesemwa na askofu wa Dayosisi Mashariki na Pwani wa KKKT Dr Alex Malasusa

Askofu Malasusa amesema inapendeza kuona askari polisi wengi wamemfuata Yesu Kristo kama Bwana na mwokozi wa maisha yao

Askofu alikuwa Ibadani katika kanisa la Goba

Source Upendo tv
Atawaponza wahamishiwe Zanzibar.
 
Hata MWENDAZAKE alimfuata YESU na Kulitaja sana Jina la MUNGU ILA aliyowatendea CHADEMA ni MUNGU TU anayajuaView attachment 2435346View attachment 2435350View attachment 2435352
Ukiwa msaliti kwa taifa lako lazima yakupate kama ya Tindu Lissu, hauwezi kusomeshwa kwa kodi za watanganyika,alafu baada ya elimu unasaliti taifa lako,na ashukuru Mungu akuzaliwaChina au Urusu kwa Putin,Hata Mungu wa Mbinguni Shetani aliposaliti sheria za Mbinguni,alifukuza huko na kutupwa duniani (ufunuo 12:7-10) msaliti ana msamaa hata mbingu Yuda iskarioti( Mathayo 27:1-5)msaliti mwisho wake uwa mbaya.
 
Wewe endelea kukariri huu upuuzi wako kwamba kila anayekosoa watawala ni msaliti wa nchi. Leo CCM hao hao wakisimama majukwaani wanasema nchi ilifikishwa pabaya na Magufuli wakati walikaa kimya akiwa hai. Basi na kina Nape wanaompinga Magufuli hadharani Leo wapigeni risasi maana wanamsaliti mungu wenu.
 
Kmmk unaweza kutueleza hapa usaliti wa lisu ni upi matacle wewe
 
Wewe endelea kukariri huu upuuzi wako kwamba kila anayekosoa watawala ni msaliti wa nchi. Leo CCM hao hao wakisimama majukwaani wanasema nchi ilifikishwa pabaya na Magufuli wakati walikaa kimya akiwa hai. Basi na kina Nape wanaompinga Magufuli hadharani Leo wapigeni risasi maana wanamsaliti mungu wenu.
Hizo kelele tu za akina Nape, Magufuli kaikuta CCM choka mbaya mpaka mashati ya CCM yalikuwa wanatembea nayo kwenye mikoba,wakifika kwenye mikutano ndipo yanavaliwa, CCM ilikuwa ombaomba kwa matajiri na mafisadi, Magufuli alirudisha eshima ya CCM ambayo ilikuwa umeisha potea,nchi ilikuwa imeishapoteza muelekeo kwa rushwa na ufisadi,mpaka watu walifika kubeba ela kwenye masandarusi,wanaongelea Magufuli ni walikuwa wezi na wala rushwa tu ndio wanamsema Magufuli vibaya.
 
Back
Top Bottom