Fisadi mkuu yupo CHADEMAUnataka kutuaminisha kuwa mafisadi wapo cdm ccm hawapo?
Si mmejenga mahakama ya mafisadi,Fisadi mkuu yupo CHADEMA
Mama si ulisema baba yko lowasaa,au baba yko ni fisadi wa 1.5 trillion yani fisadi nyangumi kuwahi kutokea dunianiUkiangalia takwimu zao wanakwambia wana Waumini milioni 6 hivyo kama wakifanikiwa kuwashawishi wote kumpingia kura Fisadi Lowasa na Mafisadi ya chadema ina maana wanaweza kinadharia kufikisha tena kura milioni 6, na hapo ndipo Askofu wa Mungu Malalusa anapoingia, ndo maana wanampiga vita na kumchukia kwani amekataa kuwa agent wa Mafisadi na kizuri zaidi Dayosisi yake ndo yenye watu wanene, hapo sasa.
Kwa hiyo mwisho wa siku itabakia kuwa KLM ndiyo watakaompigia kura Lowasa ns chadema lkn TZ yote watawakataa chadema na Siasa zao za Kibaguzi, lkn KLM hawana namba na Arusha tayari wameanza kurudi CCM hivyo ni pigo lingine kwa Mafisafi!
Ningeshauri Askofu wa Mungu Malalusa apewe ulinzi na Serikali yetu, ...
Deadly devil at work!!!Ukiangalia takwimu zao wanakwambia wana Waumini milioni 6 hivyo kama wakifanikiwa kuwashawishi wote kumpingia kura Fisadi Lowasa na Mafisadi ya chadema ina maana wanaweza kinadharia kufikisha tena kura milioni 6, na hapo ndipo Askofu wa Mungu Malalusa anapoingia, ndo maana wanampiga vita na kumchukia kwani amekataa kuwa agent wa Mafisadi na kizuri zaidi Dayosisi yake ndo yenye watu wanene, hapo sasa.
Kwa hiyo mwisho wa siku itabakia kuwa KLM ndiyo watakaompigia kura Lowasa ns chadema lkn TZ yote watawakataa chadema na Siasa zao za Kibaguzi, lkn KLM hawana namba na Arusha tayari wameanza kurudi CCM hivyo ni pigo lingine kwa Mafisafi!
Ningeshauri Askofu wa Mungu Malalusa apewe ulinzi na Serikali yetu, ...
Atulie tu muda utafika ,jinai haina muda maalumu wa kupelekwa mahakani mkuuSi mmejenga mahakama ya mafisadi,
mpelekeni basi mahakamani
Baadhi ya kilimanjaro Natives wanafikiri wao ndio waliolivumbua kanisa la kkkt wakati ni Martin luther.ni jambo la /QUOTE
Kanisa la kkkt halikuvumbuliwa mkuu, lilianzishwa na huyo uliyemtaja.
Hivi lililokwapua 1.5trln tuliiteje?Ukiangalia takwimu zao wanakwambia wana Waumini milioni 6 hivyo kama wakifanikiwa kuwashawishi wote kumpingia kura Fisadi Lowasa na Mafisadi ya chadema ina maana wanaweza kinadharia kufikisha tena kura milioni 6, na hapo ndipo Askofu wa Mungu Malalusa anapoingia, ndo maana wanampiga vita na kumchukia kwani amekataa kuwa agent wa Mafisadi na kizuri zaidi Dayosisi yake ndo yenye watu wanene, hapo sasa.
Kwa hiyo mwisho wa siku itabakia kuwa KLM ndiyo watakaompigia kura Lowasa ns chadema lkn TZ yote watawakataa chadema na Siasa zao za Kibaguzi, lkn KLM hawana namba na Arusha tayari wameanza kurudi CCM hivyo ni pigo lingine kwa Mafisafi!
Ningeshauri Askofu wa Mungu Malalusa apewe ulinzi na Serikali yetu, ...
Huyo dada kaachika,msamehe bureMkuu unaporomoka vibaya sana, sasa hivi uko kwenye level ya akina Musiba na Muro, sijui umepatwa na nini!!!
Fisadi mkuu cdm,fisadi nyangumi yupo ccm kaiba 1.5 trillionFisadi mkuu yupo CHADEMA
Mzee shoo keshaanza kuteneza mazingira ya rushwa kwa ukabila, udini,Hebu jiongeze sasa. Kuwa na akili kidogo na acha kumwaga upupu. Mod, toa uharo huu.
Msemaji wa KKKT au kuchafuanaUkiangalia takwimu zao wanakwambia wana Waumini milioni 6 hivyo kama wakifanikiwa kuwashawishi wote kumpingia kura Fisadi Lowasa na Mafisadi ya chadema ina maana wanaweza kinadharia kufikisha tena kura milioni 6, na hapo ndipo Askofu wa Mungu Malalusa anapoingia, ndo maana wanampiga vita na kumchukia kwani amekataa kuwa agent wa Mafisadi na kizuri zaidi Dayosisi yake ndo yenye watu wanene, hapo sasa.
Kwa hiyo mwisho wa siku itabakia kuwa KLM ndiyo watakaompigia kura Lowasa ns chadema lkn TZ yote watawakataa chadema na Siasa zao za Kibaguzi, lkn KLM hawana namba na Arusha tayari wameanza kurudi CCM hivyo ni pigo lingine kwa Mafisafi!
Ningeshauri Askofu wa Mungu Malalusa apewe ulinzi na Serikali yetu, ...
Kama una ugomvi binafsi au unamtaka Shoo kwa mambo yako basi mfuate kule Moshi na si kumchomeka kila unapotaka. Shoo sio ndugu na Lowassa ni Askofu tu msomi na anayejitambua. sijaona chochote alichokifanya kuonyesha yeye ni member au pro CHADEMAMzee shoo keshaanza kuteneza mazingira ya rushwa kwa ukabila, udini,
Je upo tayari bunge lifumue ile 1.5T na et el tuone who is the bestFisadi mkuu yupo CHADEMA
Mzee shoo busara ni ndogo kwa sababu huwezi changanya siasa na dini. Kipindi kile nyeupe anasema rias awe mluteri mbona hakukemeaKama una ugomvi binafsi au unamtaka Shoo kwa mambo yako basi mfuate kule Moshi na si kumchomeka kila unapotaka. Shoo sio ndugu na Lowassa ni Askofu tu msomi na anayejitambua. sijaona chochote alichokifanya kuonyesha yeye ni member au pro CHADEMA
Ukisikia akili za kushikiwa ndio kama hivi... Yani watu wanaangalia mustakbali wa nchi hii na vizazi vijavyo nyie mnaangalia kura 2020! Kwa style hii hatufiki popote aisee..Malabuku kabisaUkiangalia takwimu zao wanakwambia wana Waumini milioni 6 hivyo kama wakifanikiwa kuwashawishi wote kumpingia kura Fisadi Lowasa na Mafisadi ya chadema ina maana wanaweza kinadharia kufikisha tena kura milioni 6, na hapo ndipo Askofu wa Mungu Malalusa anapoingia, ndo maana wanampiga vita na kumchukia kwani amekataa kuwa agent wa Mafisadi na kizuri zaidi Dayosisi yake ndo yenye watu wanene, hapo sasa.