Askofu Kilaini: Kagera walazimishwe kulima

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,222
1,667
Askofu Msaidizi Jimbo Katoliki la Bukoba mkoani Kagera, Dk. Methodius Kilaini, ameishauri Serikali ifanye kampeni ya kuwalazimisha wakazi wa mkoa huo kulima mazao mchanganyiko kukabiliana na tatizo la utapiamlo kwa watoto.
Pia aliitaka Serikali kuweka sheria kuanzia ngazi ya vijiji itakayombana kila mwananchi kuwa na shamba lenye mazao mchanganyiko tofauti na utamaduni uliozoeleka wa kutegemea kilimo cha migomba peke yake......

"wanaume wa Mkoa wa Kagera wamekuwa wakitumia muda mwingi kunywa pombe....., na kuwaachia kazi ya kilimo wanawake...."

Chanzo: MTANZANIA
 

Attachments

  • IMG_20181214_072937.jpg
    IMG_20181214_072937.jpg
    175.1 KB · Views: 27
Wanaume wa mkoani nao ni balaa.

Kazi na bata wao wamechagua bata tu,kazi hawataki.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom