Rocky City
JF-Expert Member
- Nov 22, 2017
- 874
- 662
anataka askofu aache kazi zake akawaulize wanachuo kama wameshiba au la !!!!!!!!!!Hoja yake kubwa ni chakula! Huenda mnakula kadiri ya bajeti yenu. Ni aibu sana kuandika wito kwa Kiongozi kizembe namna hiyo.Unashusha hadhi ya JF.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni moja ya mambo pia yaliyo pale..muhasibu wa pale sister huyo ana majibu ya ovyo mno kwa watoto.anatukana watoto tena wanachuo hakuna anaye mgusa hata viongoz wa chuo pale wanamuogopa.hakuna wa kumgusa!Tatizo la vyuo vyinavyomilikiwa na makanisa ni kuwa na utawala wa hovyo wa kidini pia. Pale RUCU kuna jamaa mmoja ni mhasibu anaitwa Msilu anafanya kazi hovyo na kwa kujisikia sana lakini haonywi wala kuwajibishwa anapolalamikiwa, inasemekana sababu ni mkatoliki sijui alikuwa mhudumu wa askofu nk
Unaweza fuatilia cheti baada ya kumaliza akakuweka Iringa siku 2 au 3 eti anahakiki risiti zako na hataki wahasibu wengine kusaini clearance. Mpaka department za masomo, madean wanaogopa kumgusa.
Nakubaliana hoja na mleta mada, kuna matatizo kwenye utawala wa hivi vyuo vya kidini, wanaweka watu kwa misingi ya dini na sio weledi, salamu ziwafikie.
Umeunganisha kwa ujumla ila siyp kama unavyo dhani boss,ni kweli lakini si kw ma sister walio pale wanamajibu mabaya kwa wanachuo.wako juu ya kila kitu hadi uongozi wa chuo hakuna wa kuwahoji pale.Ninachojua masista wapo creative sana, kama kuna eneo kubwa lazima watakuwa na ufugaji wa ngo'mbe na kitimoto. Kwa hiyo ni swala la wanachuo kuwaambia tu kwamba wana hamu ya kugonga kitimoto na maziwa mgando halafu utaona shughuli itakavyokuwa.
Umejibu vyema mno,lakini ni kweli kuna mzazi anampeleka mtoto akale pilau chuo??mkuu mambo yaliyo pale ni magumu mno mbali na chakula,chakula ni sehem ndogo sana ya matatizo hayo.kuna mengi nyuma ya pazia pale mkuu.Sijakuelewa vizuri, tatizo ni chakula au masister?! au masister ndio wanasababisha mtoto wako asile pilau sio?japo sidhani km itawezekana chakula cha shuleni kifanane na cha nyumbani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,sizan kama mtu mzima kweli anaweza kuwaza hivyo.yule ndiye msimamizi mkuu wa taasisi zote zilizo chini ya kanisa.chakula ni sehem ndogo ya malalamiko makubwa pale,kuna watu pale hasa hawa ma sister hakuna wa kumgusa pale.yupo juu ya kila kitu sasa nn maana ya kuwa na uongozi wa chuo mkuu.fuatilia mdau mwingine kasema habar za chuo kingine cha hapo juu.napo ni chakula?anataka askofu aache kazi zake akawaulize wanachuo kama wameshiba au la !!!!!!!!!!
yepi yatajeUmejibu vyema mno,lakini ni kweli kuna mzazi anampeleka mtoto akale pilau chuo??mkuu mambo yaliyo pale ni magumu mno mbali na chakula,chakula ni sehem ndogo sana ya matatizo hayo.kuna mengi nyuma ya pazia pale mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app