PostGE2025 Askofu Gwajima ni kiboko, kawapiga chenga sasa wameomba poooh

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,193
Reaction score
3,957
Nyie huyu Gwajima sio jasusi kweli?, amewezaje kuwatoa Jasho polisi na watekaji hadi sasa hawajui alipo, huu msamaha ni mtego wamnase tu ila najua Gwaji boy ni mjanja kashawasoma kitambo sana.

Kila wakitageti location inasoma Dar somewhere wakifika mamba hayupo location inasoma Uyole, Mbeya hahahaha
 
Nyie huyu gwajima sio jasusi kweli?, amewezaje kuwatoa Jasho polisi na watekaji hadi sasa hawajui alipo, huu msamaha ni mtego wamnase tu ila najua gwaji boy ni mjanja kashawasoma kitambo sana.
Kila wakitageti location inasoma dar somewhere wakifika mamba hayupo location inasoma uyole ,mbeya hahahaha
Jasusi la mbinguni
 
Mjapani yule
 
Gwaji boy analindwa na mfumo. Hii kitu lazima mtu ang’olewe. dkt Samia Alikuwa mbishi, sisi wazalendo tulimpa hint zote namna ya kufanya alinde kiti chake akashupaza shingo, kwa ujumla JF ndiyo pahala pekee Kiongozi anaweza kujua namna ya kuongoza nchi. Sasa hivi kila mwenye kutaka kuiongoza Tanzania anataka Dkt Samia afe ili arundikiwe mizigo yote ya mauaji mpaka ya Dkt Magufuli, wakati enzi zile tunamuonya Mama omboleza achana na mambo ya kutaka kugombea, haya tukamjulisha Mama ukigombea huo ni mtego watakuua maana hawapendi uendelee maana haukuwa kwenye ratiba hahahah ila sasa kila sehemu mpaka wananchi masikini wanasubiri dkt samia afe washangilie kisa kaua vijana. Yaani kama huwa anapita JF na kusoma na hajabadilika basi ajue ndiyo hivyo
 
Umetaja point mhm sana humu. Watu hwawajui sisiemu. Ona maguu alivyotupiwa kila aina ya uchafu. Huyu mama wanae watashangaa sana huo muda ukifika.
 
Gwaji boy analindwa na mfumo. Hii kitu lazima mtu ang’olewe. dkt Samia Alikuwa mbishi, sisi wazalendo tulimpa hint zote namna ya kufanya alinde kiti chake akashupaza shingo, kwa ujumla JF ndiyo pahala pekee Kiongozi anaweza kujua namna ya kuongoza nchi. Sasa hivi kila mwenye kutaka kuiongoza Tanzania anataka Dkt Samia afe ili arundikiwe mizigo yote ya mauaji mpaka ya Dkt Magufuli, wakati enzi zile tunamuonya Mama omboleza achana na mambo ya kutaka kugombea, haya tukamjulisha Mama ukigombea huo ni mtego watakuua maana hawapendi uendelee maana haukuwa kwenye ratiba hahahah ila sasa kila sehemu mpaka wananchi masikini wanasubiri dkt samia afe washangilie kisa kaua vijana. Yaani kama huwa anapita JF na kusoma na hajabadilika basi ajue ndiyo hivyo
Polepole alikuwa easy sana adi anatekwa kizembe hivyo
 
Mpumbavu alikuwa Dar ila akajigamba Yuko Tanzania hivi angedanganya Kuwa amepata hifadhi ys ukimbizi Sweden unadhan wangejisumbua ku Concentrate hapa bongo kumtafuta
Kabisa
Yaani aliniudhi mimi japo iliniumiza
Sijui alikuwa ashajitoa mhanga ? Mpk leo simuelewi!
Hivi kwa hadhi yake angeshindwa kuishi nchi yyt kweli?
 
Mpumbavu alikuwa Dar ila akajigamba Yuko Tanzania hivi angedanganya Kuwa amepata hifadhi ys ukimbizi Sweden unadhan wangejisumbua ku Concentrate hapa bongo kumtafuta
Ile kusema yuko Dar ilikuwa mbinu pia ya kupoteza maboya ili wasiamini maana isingewezekana kuamini kwamba jamaa yuko Dar kibaha
 
Back
Top Bottom