alibaaliyo
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 622
- 569
Mkuu achana nae anazengua maana haeleweki ametuaminisha kuwa kazi imeisha alafu anaulizwa anamaana gani anashindwa kusema anamungun ya maneno tuu
MOD unawezaje kukubali uzi wa kuvunja haki za binadamu na katiba ya nchi ya Tanzania. Huyu Mightier anatoa maelezo ya vitisho sio tu kwa Mtanzania lakini pia kiongozi Mh mbunge Askofu Gwajima. Uzi huu tangu jana umeachwa.Kama kuna Mtu ambaye nilidhani ni Mjanja tena wa Kukwepa Mitego ya Kimafia kutoka Jengo Tai Tanzania (JTT) basi alikuwa ni Askofu Gwajima ila baada ya Kutegwa Kitaalamu hatimaye kaingia mwenyewe Mtegoni.
Askofu Gwajima ni Mpuuzi gani alikudanganya na ukamuamini kuwa kama Watu wa Jengo Tai Tanzania (JTT ) wakikutaka basi sehemu zao pekee za Kukukamatia ni katika Mic na Kiti pekee ambavyo ulivikataa kwa Maelekezo uliyopewa na uliodhani wako pamoja nawe kumbe ndiyo walikupeleka katika Mdomo wa Mamba Kiulaini?
Yaani Askofu Gwajima pamoja na Kujimwambafai (Kujitapa ) Kwako kote kule na Kutembea sana Ulaya na Marekani umeshindwa tu kujua kuwa Umafia wa Siku hizi umeshakuwa more advanced na kwamba unaweza Ukaondoka hata kwa Kalamu au Saa au Taa au Mvuke au Miale au Mkanda wa Kiunoni au Camera zinazokumulika?
Nimekudharau kuliko vile ambavyo unaweza kudhani japo hapo mwanzoni nilikuwa nakukubali. Kuna Kitu nilikiona ile Siku ya Kwanza ulivyokuwa Grilled na Kingine pia nimekiona Jana ambacho nasikitika pamoja na kujifanya Kwako Mtoto wa Mjini hukukishtukia ila wenye Kazi yao wameshamaliza Jukumu lao na sasa tunaanza kujiandaa kwa Breaking News nchini.
Mwenzako Slaa kachungulia na Kasepa!
Naanza kuwa na wasiwasi kuwa sasa JF imeanza kupromote watu wenye nia ovu ktk jamii. Zamani huyu angelipigwa ban na andiko lake kuondolewa..