Askofu Gwajima nani alikudanganya kuwa ni Mic na Kiti tu ndiyo vinaweza Kukuondoa Kimafia duniani?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Kama kuna Mtu ambaye nilidhani ni Mjanja tena wa Kukwepa Mitego ya Kimafia kutoka Jengo Tai Tanzania (JTT) basi alikuwa ni Askofu Gwajima ila baada ya Kutegwa Kitaalamu hatimaye kaingia mwenyewe Mtegoni.

Askofu Gwajima ni Mpuuzi gani alikudanganya na ukamuamini kuwa kama Watu wa Jengo Tai Tanzania (JTT ) wakikutaka basi sehemu zao pekee za Kukukamatia ni katika Mic na Kiti pekee ambavyo ulivikataa kwa Maelekezo uliyopewa na uliodhani wako pamoja nawe kumbe ndiyo walikupeleka katika Mdomo wa Mamba Kiulaini?

Yaani Askofu Gwajima pamoja na Kujimwambafai (Kujitapa ) Kwako kote kule na Kutembea sana Ulaya na Marekani umeshindwa tu kujua kuwa Umafia wa Siku hizi umeshakuwa more advanced na kwamba unaweza Ukaondoka hata kwa Kalamu au Saa au Taa au Mvuke au Miale au Mkanda wa Kiunoni au Camera zinazokumulika?

Nimekudharau kuliko vile ambavyo unaweza kudhani japo hapo mwanzoni nilikuwa nakukubali. Kuna Kitu nilikiona ile Siku ya Kwanza ulivyokuwa Grilled na Kingine pia nimekiona Jana ambacho nasikitika pamoja na kujifanya Kwako Mtoto wa Mjini hukukishtukia ila wenye Kazi yao wameshamaliza Jukumu lao na sasa tunaanza kujiandaa kwa Breaking News nchini.

Mwenzako Slaa kachungulia na Kasepa!
 
kama usemacho ni kweli hao unaosema wamefanya unachosema basi pia wamefikia mwisho wa kufikiri maana matendo ya namna hiyo ya wazi ama kificho ikiwa nia ni kutia watu hofu hayana mwisho mzuri kwa nchi yeyote ni kweli watu huingiwa na hofu lakini hofu ikigeuzwa hasira ni kitu cha hatari sana. Ni muda wakufikiri namna yakupunguza watu wenye hasira na nchi yao ni muda wa kulileta taifa pamoja tukubali hatuwezi kukubaliana kila jambo na hatuwezi wote kuwa na imani au itikadi moja ya kisiasa dini NK ila tunaweza kuwa na taifa moja lenye watu wa kariba zote
 
Naiweka maktaba hii..panapo majaliwa tutairejea hii nyuzi..
Katika Medani huwa kuna Kifurushi cha kukuondoa ndani ya Siku, Wiki, Mwezi, Miezi mitatu, Miezi 6, Mwaka Mmoja au hata Miaka Miwili hivyo inategemea ulichozawadiwa ni kipi ila Kuondoka ni lazima tu.
 
kama usemacho ni kweli hao unaosema wamefanya unachosema basi pia wamefikia mwisho wa kufikiri maana matendo ya namna hiyo ya wazi ama kificho ikiwa nia ni kutia watu hofu hayana mwisho mzuri kwa nchi yeyote ni kweli watu huingiwa na hofu lakini hofu ikigeuzwa hasira ni kitu cha hatari sana. Ni muda wakufikiri namna yakupunguza watu wenye hasira na nchi yao ni muda wa kulileta taifa pamoja tukubali hatuwezi kukubaliana kila jambo na hatuwezi wote kuwa na imani au itikadi moja ya kisiasa dini NK ila tunaweza kuwa na taifa moja lenye watu wa kariba zote
Si mlikuwa mnampa Jeuri na kumjaza Ujinga leo mbona mnaanza kumuonea Huruma? Ninachojua tu ni kwamba Mission Accomplished!!!
 
Anachopaswa kujua gwajima na hao unaowaita JJT ni kuwa kama siku zako zimefika hata ukwepe vipi utakufa tu

Na hao JJT kama siku za wanaye muwinda hazijafika hata wampige laser level (3x5000) bado mtu atatoka akiwa mzima kabisa.
 
Gwajboy ni kama kirusi tu kinavyozaliana by means of multiplication, hata iwe deep state kumtowesha eti kwa kuwa anapingana na mipango inayopangwa ni shughuli pevu. Wenye fikra kama zake wako wengi ila hawana vyeo wala nyadhifa na hawajulikani. Deep state ni binadamu tu nao wana ukomo wa kufanya umafia wao
 
Back
Top Bottom