Askofu Gwajima nani alikudanganya kuwa ni Mic na Kiti tu ndiyo vinaweza Kukuondoa Kimafia duniani?

Mkuu achana nae anazengua maana haeleweki ametuaminisha kuwa kazi imeisha alafu anaulizwa anamaana gani anashindwa kusema anamungun ya maneno tuu
Kama kuna Mtu ambaye nilidhani ni Mjanja tena wa Kukwepa Mitego ya Kimafia kutoka Jengo Tai Tanzania (JTT) basi alikuwa ni Askofu Gwajima ila baada ya Kutegwa Kitaalamu hatimaye kaingia mwenyewe Mtegoni.

Askofu Gwajima ni Mpuuzi gani alikudanganya na ukamuamini kuwa kama Watu wa Jengo Tai Tanzania (JTT ) wakikutaka basi sehemu zao pekee za Kukukamatia ni katika Mic na Kiti pekee ambavyo ulivikataa kwa Maelekezo uliyopewa na uliodhani wako pamoja nawe kumbe ndiyo walikupeleka katika Mdomo wa Mamba Kiulaini?

Yaani Askofu Gwajima pamoja na Kujimwambafai (Kujitapa ) Kwako kote kule na Kutembea sana Ulaya na Marekani umeshindwa tu kujua kuwa Umafia wa Siku hizi umeshakuwa more advanced na kwamba unaweza Ukaondoka hata kwa Kalamu au Saa au Taa au Mvuke au Miale au Mkanda wa Kiunoni au Camera zinazokumulika?

Nimekudharau kuliko vile ambavyo unaweza kudhani japo hapo mwanzoni nilikuwa nakukubali. Kuna Kitu nilikiona ile Siku ya Kwanza ulivyokuwa Grilled na Kingine pia nimekiona Jana ambacho nasikitika pamoja na kujifanya Kwako Mtoto wa Mjini hukukishtukia ila wenye Kazi yao wameshamaliza Jukumu lao na sasa tunaanza kujiandaa kwa Breaking News nchini.

Mwenzako Slaa kachungulia na Kasepa!
MOD unawezaje kukubali uzi wa kuvunja haki za binadamu na katiba ya nchi ya Tanzania. Huyu Mightier anatoa maelezo ya vitisho sio tu kwa Mtanzania lakini pia kiongozi Mh mbunge Askofu Gwajima. Uzi huu tangu jana umeachwa.

Naanza kuwa na wasiwasi kuwa sasa JF imeanza kupromote watu wenye nia ovu ktk jamii. Zamani huyu angelipigwa ban na andiko lake kuondolewa..
 
Muongo huyo anajuwa nini
Kasema “Mwenzako Slaa kachungulia na Kasepa!” Kile kiti alichokalia na maiki aliyotumia Ndo imemfanya kushindwa kufika kwenye kikao

Gwajima kasema kwenye zile chanjo kuna vitu vimewekwa. Kuna taarifa kuwa Japana wamesitisha kutoa Chanjo ya modern kuna vitu vimegundulika kwenye kwenye chupa ya Chanjo vinavyokadiliwa kufika milimita .

Uongo mtupu
 
Uongo mtupu

Japan suspends 1.6 million Moderna doses over contamination fears​

The health ministry said "foreign materials" were found in some doses of a batch of roughly 560,000 vials.
Takeda Pharmaceutical, which sells and distributes the vaccine in Japan, said Moderna had put three batches on hold "out of an abundance of caution".
It said an issue at a manufacturing contract site in Spain was the likely cause, but did not elaborate.
"To date, no safety or efficacy issues have been identified," Moderna said, adding that it would work with regulators and Takeda to investigate the matter further.
There are no details of what the "foreign objects" are, but Takeda described it as particulate matter, after which it said conducted an emergency examination.

Reports of contamination also came from seven other vaccination centres, according to the Japan Times newspaper, with 39 vials - or 390 doses - found to have been affected.
The health ministry has published the batch numbers so that people who had received their shot before the suspension could check if they have got a potentially contaminated shot, Japan Times added.
Japan is battling a spike in Covid cases, with eight more prefectures placed under a state of emergency on Wednesday.
It's capital Tokyo, is currently hosting the Paralympic Games.
The country has already approved the Pfizer and AstraZeneca vaccines for use - it only started using Moderna in May.
Just over 40% of Japanese people are fully vaccinated and around 50% have received one dose.

Source BBC NEWS
 
Kama na wewe umeona ambacho unadhan yeye hajaona maana yake wewe na hao watu nyote ni wapumbav...
Bado nyie ni primitive kutaka kuwadhuru watu wenye mitazamo tofaut ktk jamii...
Halafu usidanganye watu.
 
Kuna mahala popote pale nimesema kuwa Askofu Gwajima anaenda Kuuawa / Kuuwawa? Nionyeshe tafadhali...!!!
Mbona umeanza kuwa baridi na ulikuwa moto kwelikweli,umegundua kuwa wamekugundua au una wasiwasi gani,jogoo awike,asiwike patakucha tu.Maji yaliyomwagika huwezi kuyazoa tena,ila subiri kama kulikuwa na kitu chini,kitachipua.Wanasema wewe ukipekecha mbele,wao walishapekecha nyuma siku nyingi.Jifunze kutoka kwa inzi.Kanyaga taratibu,polepole kwani kesho ipo.
 
Kama kuna Mtu ambaye nilidhani ni Mjanja tena wa Kukwepa Mitego ya Kimafia kutoka Jengo Tai Tanzania (JTT) basi alikuwa ni Askofu Gwajima ila baada ya Kutegwa Kitaalamu hatimaye kaingia mwenyewe Mtegoni.

Askofu Gwajima ni Mpuuzi gani alikudanganya na ukamuamini kuwa kama Watu wa Jengo Tai Tanzania (JTT ) wakikutaka basi sehemu zao pekee za Kukukamatia ni katika Mic na Kiti pekee ambavyo ulivikataa kwa Maelekezo uliyopewa na uliodhani wako pamoja nawe kumbe ndiyo walikupeleka katika Mdomo wa Mamba Kiulaini?

Yaani Askofu Gwajima pamoja na Kujimwambafai (Kujitapa ) Kwako kote kule na Kutembea sana Ulaya na Marekani umeshindwa tu kujua kuwa Umafia wa Siku hizi umeshakuwa more advanced na kwamba unaweza Ukaondoka hata kwa Kalamu au Saa au Taa au Mvuke au Miale au Mkanda wa Kiunoni au Camera zinazokumulika?

Nimekudharau kuliko vile ambavyo unaweza kudhani japo hapo mwanzoni nilikuwa nakukubali. Kuna Kitu nilikiona ile Siku ya Kwanza ulivyokuwa Grilled na Kingine pia nimekiona Jana ambacho nasikitika pamoja na kujifanya Kwako Mtoto wa Mjini hukukishtukia ila wenye Kazi yao wameshamaliza Jukumu lao na sasa tunaanza kujiandaa kwa Breaking News nchini.

Mwenzako Slaa kachungulia na Kasepa!
Umeongea vizuri tena pwenti sema umeniudhi kumuita tapeli gwajima askofu. Huyu si askofu bali ni tapeli anayejiita askofu. Mengine sigusi.
 
Japan suspends 1.6 million Moderna doses over contamination fears​

The health ministry said "foreign materials" were found in some doses of a batch of roughly 560,000 vials.
Takeda Pharmaceutical, which sells and distributes the vaccine in Japan, said Moderna had put three batches on hold "out of an abundance of caution".
It said an issue at a manufacturing contract site in Spain was the likely cause, but did not elaborate.
"To date, no safety or efficacy issues have been identified," Moderna said, adding that it would work with regulators and Takeda to investigate the matter further.
There are no details of what the "foreign objects" are, but Takeda described it as particulate matter, after which it said conducted an emergency examination.

Reports of contamination also came from seven other vaccination centres, according to the Japan Times newspaper, with 39 vials - or 390 doses - found to have been affected.
The health ministry has published the batch numbers so that people who had received their shot before the suspension could check if they have got a potentially contaminated shot, Japan Times added.
Japan is battling a spike in Covid cases, with eight more prefectures placed under a state of emergency on Wednesday.
It's capital Tokyo, is currently hosting the Paralympic Games.
The country has already approved the Pfizer and AstraZeneca vaccines for use - it only started using Moderna in May.
Just over 40% of Japanese people are fully vaccinated and around 50% have received one dose.

Source BBC NEWS
Tafadhali tafadhali,mtafsirie Mitgher huyo mleta uzi huu asome taratibu aelewe.
 
Kama kuna Mtu ambaye nilidhani ni Mjanja tena wa Kukwepa Mitego ya Kimafia kutoka Jengo Tai Tanzania (JTT) basi alikuwa ni Askofu Gwajima ila baada ya Kutegwa Kitaalamu hatimaye kaingia mwenyewe Mtegoni.

Askofu Gwajima ni Mpuuzi gani alikudanganya na ukamuamini kuwa kama Watu wa Jengo Tai Tanzania (JTT ) wakikutaka basi sehemu zao pekee za Kukukamatia ni katika Mic na Kiti pekee ambavyo ulivikataa kwa Maelekezo uliyopewa na uliodhani wako pamoja nawe kumbe ndiyo walikupeleka katika Mdomo wa Mamba Kiulaini?

Yaani Askofu Gwajima pamoja na Kujimwambafai (Kujitapa ) Kwako kote kule na Kutembea sana Ulaya na Marekani umeshindwa tu kujua kuwa Umafia wa Siku hizi umeshakuwa more advanced na kwamba unaweza Ukaondoka hata kwa Kalamu au Saa au Taa au Mvuke au Miale au Mkanda wa Kiunoni au Camera zinazokumulika?

Nimekudharau kuliko vile ambavyo unaweza kudhani japo hapo mwanzoni nilikuwa nakukubali. Kuna Kitu nilikiona ile Siku ya Kwanza ulivyokuwa Grilled na Kingine pia nimekiona Jana ambacho nasikitika pamoja na kujifanya Kwako Mtoto wa Mjini hukukishtukia ila wenye Kazi yao wameshamaliza Jukumu lao na sasa tunaanza kujiandaa kwa Breaking News nchini.

Mwenzako Slaa kachungulia na Kasepa!
Sasa weee ata ukimdharau inampunguzia nn kwa mfano
 
Umesema Kuna taa, mvuke ,miale na kamera zinaweza kumdhulu pia Sasa nikuulize Kwan hivyo vitu unavyoona vinamlika yeye tu au yeyote anaingia kwenye ukumbi huo? Be smart bhana .
 
Tafadhali tafadhali,mtafsirie Mitgher huyo mleta uzi huu asome taratibu aelewe.
Huyu Mitgher ndiyo nani? Ninachojua hapa Jamiiforums kuna ID ya Mightier ambayo ndiyo yangu Mimi hii ya Mitgher kama ulivyoandika hapa ni ya nani? Pumbavu...!!!
 
Hujui kitu kaa kimya.

Alafu si vyema kila mtu kujikuta mwana intelijensia. Kwani wengine tukiwa wavuvi kuna ubaya gani?
 
Kwanza si kila mtu anamuunga mkono na hata wasio muunga mkono sidhani kama wanataka afe hivi kama kila mtu anaye enda kinyume na matakwa ya kundi flani akiuwawa unadhani nani atabakia maana hata hao wanasiasa wanaenda kinyume na matakwa ya wanachi kila siku je wananchi nao waanze kuwawinda na kuwauwa ili kufikisha ujumbe wao ? si sawa kuja ku brag hapa kwa kitu kama hiki kwa hali halisi kama una high level security clearance na unakuja hapa kuropoka tayari umeharibu mission yote,haina faida zaidi ya kuthibitisha kuwa ni genge la wahalifu ..ila kinyume chake nakuona kama wewe ndi mfuasi wa gwajima una backbite kwa kuitoa siri kama whistleblower na kama ni si hivyo basi ni wazi nchi hii haina think tank ina sim tank zimejaa maji kichwani
Achana naye huyo fala anajifanya ni mjuaji yani much know kumbe kenge mmoja hivi ,....watu type yake ukikutana naye bar wanajifanyaga usalama wataifa ,usalama gani wa taifa anayejitangaz ovyo!!
 
Umeshaona ID yangu ni Mightier halafu tena unaniuliza Mimi ni nani. Zinakutosha sawa sawa?

Faida ni Kumtia Adabu huyo Chizi Wenu.
Walewale miungu watu! Mungu mwenyewe atawashughulikia!
 
Back
Top Bottom