The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,950
- 12,549
Mambo yanakwenda kwa Kasi sana!
Miezi miwili iliyjopita Baba Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima(sijui upi) alikuwa gumzo kitokana naKupinga chanjo ya Corona.
Kabla ya hapo pia alikuwa ni Kama anapinga uwepo wa Corona na jitihada zote zilizokuwa zikifanywa ,kwa kuwaaminisha Waumini wake kuwa Hilo Mungu alilimalia au atalimaliza bila Sayansi.
Cha ajabu baada ya kibano alichopewa na Bunge ,Askofu Gwajima amepoa saana!
Tatizo ni Nini ...amelegea au kalegezwa.
Tulitegemea hata haya yanayoitwa Matrilioni ya IMF kuhsu Korona ayasuse.
Ndio maana kwenye Siasa unaambiwa ...UWE NA AKIBA YA MANENO.
Askofu Gwajima upo!?
Watanzania nan aliyeturoga?Mambo yanakwenda kwa Kasi sana!
Miezi miwili iliyjopita Baba Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima(sijui upi) alikuwa gumzo kitokana naKupinga chanjo ya Corona.
Kabla ya hapo pia alikuwa ni Kama anapinga uwepo wa Corona na jitihada zote zilizokuwa zikifanywa ,kwa kuwaaminisha Waumini wake kuwa Hilo Mungu alilimalia au atalimaliza bila Sayansi.
Cha ajabu baada ya kibano alichopewa na Bunge ,Askofu Gwajima amepoa saana!
Tatizo ni Nini ...amelegea au kalegezwa.
Tulitegemea hata haya yanayoitwa Matrilioni ya IMF kuhsu Korona ayasuse.
Ndio maana kwenye Siasa unaambiwa ...UWE NA AKIBA YA MANENO.
Askofu Gwajima upo!?
Hahaaa, sayansi imemaliza korona wakati waliochanja hawafiki hata nusu milioni! 😂😂Nadhani ameona Sayansi "ilivomaliza" korona
Siyo anaitwa Yobema.Mabeyo .
Wewe unaoma hiyo korona kuna mtu anahangaika nayo? Best hayo yote unayoyaona yanafavywa na serkali ili wapate hela hawana la maana lolote! Wanahamasisha uvaaji barakoa na chanjo ili waomekane na watoa misaada hamana kingine hapo!
Kwa nini Mrundi asiwe raia? Unaamuaje kama mtu ni Mrundi?Baba yake ni Mrundi, si raia.
Kama katiba ingebadilishwa watu kama Joseph Msukuma wasingepata Ubunge
Wana Jamvi wacha tuwe wazi. Kama Katiba ingebadilishwa watu kama mbunge wa Geita vijijini wasingeuona Ubunge. Maana katiba ingetaa. Wamshukuru Magufuli kwa mwendo wake wa taratibu katika upatikanaji wa katiba mpya. Mbunge wa Geita vijijini Joseph Kasheku Musukuma asingeweza kabisa kutamba kama...www.jamiiforums.com
Mkuu wanasiasa ni public figure,Kama walivo Maaskofu ,ni lazima tujue mien3ndo yao!Hakuna ww ni mchonganishi hupendi kuona amani ikitawala
Tatizo la TZ ni ujuaji, sasa na wewe unajiona una akili timamu kisa tu umevaa kigauni chako, shanga, na pedi. Dadangu tumia akili yako kwa usahihi, Corona imeua wengi sana.Uzuri ni moja hakuna Mtanzania mwenye akili timamu anayekubali chanjo kifala fala. Kila mtu anaangalia hali yake. Ukikubali rukhsa na uendelee hadi booster ya sita. Mimi nachubiri nione Rais SSH anapiga booster ya pili na tatu then ya nne. Akipiga booster ya nne nitajua kweli dawa imeingia.
Ukitaka kujua nguvu ya Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge muulize Kaka Paskali. Na yeye aliishawahi kwenda huko.Mambo yanakwenda kwa Kasi sana!
Miezi miwili iliyjopita Baba Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima(sijui upi) alikuwa gumzo kitokana naKupinga chanjo ya Corona.
Kabla ya hapo pia alikuwa ni Kama anapinga uwepo wa Corona na jitihada zote zilizokuwa zikifanywa ,kwa kuwaaminisha Waumini wake kuwa Hilo Mungu alilimalia au atalimaliza bila Sayansi.
Cha ajabu baada ya kibano alichopewa na Bunge ,Askofu Gwajima amepoa saana!
Tatizo ni Nini ...amelegea au kalegezwa.
Tulitegemea hata haya yanayoitwa Matrilioni ya IMF kuhsu Korona ayasuse.
Ndio maana kwenye Siasa unaambiwa ...UWE NA AKIBA YA MANENO.
Askofu Gwajima upo!?
Soma sheria za Uhamiaji uelimike.Kwa nini Mrundi asiwe raia? Unaamuaje kama mtu ni Mrundi?
Na kwa MAMA WA KAMBO hakuna KUDEKAAlikuwa anaishi kwa mazoea akifikiri kuwa bado yupo na baba yake wakati sasa anaishi kwa mama wa kambo.
Wanasema SYSTEM haijawahi KUMSHINDWA MtuUsicheze na system
Aiseeee! U're well informed my brother! Congratulations to you.
Ukideka kwa mama wa kambo uwe tayari kuota manundu kichwaniNa kwa MAMA WA KAMBO hakuna KUDEKA
Kuna kushinda kwa uhalali na ushindi wa kulazimisha kwa kila aina ya silahaWanasema SYSTEM haijawahi KUMSHINDWA Mtu