Wana Jamvi wacha tuwe wazi. Kama Katiba ingebadilishwa watu kama mbunge wa Geita vijijini wasingeuona Ubunge. Maana katiba ingetaa. Wamshukuru Magufuli kwa mwendo wake wa taratibu katika upatikanaji wa katiba mpya. Mbunge wa Geita vijijini Joseph Kasheku Musukuma asingeweza kabisa kutamba kama...