Askofu Gwajima kaa kimasta, usijitokeze kabisa

Askofu Gwajima kaa kimasta, usijitokeze kabisa

October 2pm

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2023
Posts
1,124
Reaction score
1,983
Walahi miye sijui hehee. Gwajima nilipokea shukrani zako miye sina baya wanijua. Walahi usingehama pale wangekukula kichwa.

Leo nimepita mule Tengeru mayii wanahaha. Wapagawa vile vibaya. Kesho tuwe Babati bro. Wajua nafulahi mini. Kesho desemba. Nye nye nye poti wakagua id Kila road. Usitoke walahi.

Usije kule inbox kunijibu. Hapahapa Kesho kutwa nione umenisign kwa post hii. Kama watoka Dec 6 usiwe mkali. Wajua hotuba ipi walahi. Nye nye nye miye sijui. Pyee na bado
 
Naona samia kageuka kuwa Putin anataka kumkaribisha Prigozhn kahawa ikulu unajuwa kinachofuata ni kupelekwa kwa Mungu baba
Usinikumbushe hilo janga!

Wala hakuwajali watu wengine wasiolengwa waliokuwemo kwenye hiyo ndege maskini wa Mungu nyie!
 
Gen Z wasisahau kuwa Kuna adui mbaya zaidi wa Taifa kushinda ujinga, maradhi, na umaskini. Adui huyo wa Taifa ni "USALITI".
 
Back
Top Bottom