Traffic JF
Senior Member
- Jul 5, 2020
- 136
- 22
Acha upotoshaji wewe ,Hivi kuna mtu ana hofu na Gwajima kugombea ubunge?
Sijui kama kuna watu atawahadaa kama anavyowahadaa wafuasi wake kuwa yeye ni mtumishi wa Mungu.
Utapeli mkubwa wa zama hizi ni kupitia maneno ya Mungu. Gwajima ni miongoni mwa wanaoitumia biblia kutekeleza uovu wake. Kanisani kwake, kidogo kidogo, wafuasi wake wanapatwa na utambuzi. Hali hiyo imemfanya atafute mbinu mpya.
Sent using Jamii Forums mobile app