Mtutu wa bunduki
Senior Member
- Jul 6, 2020
- 171
- 31
Gwajima kuiteka kawe ni lazima . Huyu gwajim Namsikiaga tuu ila hekima yake inatosha kuongozaNaona mnapiga kampeni kwa spidi sana...angalia msije mkamponza mwenzenu..Hakuna anaempinga Gwajima...wala hakuna cha kushtua alichofanya...KINACHOSHANGAZA watu ni sababu Gwajima amekula matamshi yake.Nyie mnaojiita watumishi wa Mungu mnapaswa kuwa makini na mnayotamka...Unakumbuka alichosema Gwajima kuwa hawezi kutafuta Uraisi au Uwaziri au Ubunge SABABU NI KUJISHUSHA HADHI SABABU yeye ni mtumishi wa Mungu..Au mnajitoa upofu....Watu wanachofanya ni kumtumia Gwajima kukumbusha tu kuwa SI VIZURI KUTAMKA MANENO KWA MIHEMKO UNAPOKUA MBELE YA WATU....
Zaidi ya hapo..hamna cha zaidi wa hamna kipya ana haki ya kugombea kama mtanzania mwingine yoyote