Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Uzima na Ufufuo, Josephat Gwajima amejisalimisha kituo cha polisi kati kuhojiwa juu ya kutoa lugha chafu dhidi ya Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo.
huyu gwajima alipofikia anaamini kabisa kuwa yeye ni mungu-mtu na hana dosari..wakati amegubikwa na kashfa za kuiba wake wa kondoozake
Jamani ile clip naiskiliza inasema atakwenda Juma tatu
Hana ubavu wa kuwapangia polisi aripoti lini.Walitoa order ajisalimishe mara moja. Jeuri yeyote ya kukataa na kujipangia angekiona cha mtema kuni.Hana ubavu wa kutishia nyau polisi huyo.Polisi wakiamua kula sahani moja na mtu hachomoki.
​So Polisi hawajaamua tu kupambana na mafisadi eeeenh?na Polisi hawajaamua kupambana wenyewe kwa wenyewe Kukomesha rushwa?Hana ubavu wa kuwapangia polisi aripoti lini.Walitoa order ajisalimishe mara moja. Jeuri yeyote ya kukataa na kujipangia angekiona cha mtema kuni.Hana ubavu wa kutishia nyau polisi huyo.Polisi wakiamua kula sahani moja na mtu hachomoki.
​So Polisi hawajaamua tu kupambana na mafisadi eeeenh?na Polisi hawajaamua kupambana wenyewe kwa wenyewe Kukomesha rushwa?
Wala hawatampata ng'o! Hayo ni mambo yaliyonenwa madhabahuni! Alafu, inabidi Pengo afungue kesi kwanza! Hii kesi ya sasa kafungua Kova!
​So Polisi hawajaamua tu kupambana na mafisadi eeeenh?na Polisi hawajaamua kupambana wenyewe kwa wenyewe Kukomesha rushwa?