hata Yesu hafufui wafu, mwenye kufufua wafu ni Yehova mwenyewe, angalia kilichotokea wakati wa ufufuo wa Lazaro.Hakuna mwanadamu anayefufua watu bali Yesu Kristo ndiye afanyaye hayo kupitia wewe na mimi kama tukimkiri kuwa Bwana na Mwokozi wetu.
Pengo alishamsamehe Gwajima sasa kesi mlalamikaji ni nani?siasa za mpaka mahakamani
Kidunia alimtukana Pengo, lakini kibiblia hakumtukana kabisa.
Unatakiwa uongozwe na roho mtakatifu kutambua hilo.
hata Yesu hafufui wafu, mwenye kufufua wafu ni Yehova mwenyewe, angalia kilichotokea wakati wa ufufuo wa Lazaro.
hata Yesu hafufui wafu, mwenye kufufua wafu ni Yehova mwenyewe, angalia kilichotokea wakati wa ufufuo wa Lazaro.
huenda tafsiri ya neno mtoto na mpuuzi inamaanisha kitu kingine kwa gwajima na sio hakimu anavyofikiria, atakapoulizwa maana tutamsikia akitoa ufafanuz
He, hii nayo kali. Yesu hafufui wafu? Nani alimfufua Lazaro? Nani alimfufua yule.kijana wa mwanamke mjane? Uuuuuwi! Unasoma Biblia.gani? Yesu ni nani ja Yehova ni nani? Soma Yohana 1:1-5. Mtu kama hujui maandiko ni bora kunyamaza kuliko kuonesha upungufu wako katika jambo usilolijua.[/QUOTE
Nimekupenda buree kula tano
Popo umesema kweli ccm wanamtindo wa kuleta hoja tofauti na joto lililopo la kuchujua nchi mambo ya askofu yalishapita na wakatiAcheni ujinga huu ccm mnatupoteza kutoka kwenye midahalo ya kuchukua nchi mnaanza kuleta habari za askofu gwajima tuwaachie mahakama sisi hayatuhusu
Katika uchambuzi wa mageziti asubui ya leo nimesikia gazeti moja likiandika kwamba;
Askofu wa kanisa la ufufuo na uzima Gwajima amekanusha mashtaka aliyoshtakiwa kwayo na JMT kufuatia kumtukana Askofu mkuu wa jimbo kuu katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo.
Uongo aliousema askofu Gwajima ni kukataa mbele ya hakimu kwamba hakumuita askofu Pengo mtoto, mpuuzi. Maneno ambayo yanaweza kusababisha uvunjifu wa amani.
Kukataa kwake kusema ukweli inadhihirishia umma wa Tanzania kwamba Askofu Gwajima ni mtu muongo.
CHANZO: MWANANCHI
Duh...!.