Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Mwenyekiti wa Umoja wa Maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT), Askofu Dr. Vernon Fernandes, akiwa Madhabahuni mbele ya Makamu wa Rais, Emmanuel Nchimbi, amesema mara kadhaa kuwa Kanisa la Kipentekoste limekuwa likitengwa na Serikali. Hata wakialikwa kwenye vikao vingi, bado hawapewi nafasi ya kuzungumza.
"Wengine wanaitwa, sisi wanatuita njoo, lakini hatupewi nafasi. Hata hivyo, awamu hii mmetuheshimu sana, mmejenga uhusiano nasi. Sisi tunasema tunasimama na Serikali: wakati mnafanya vizuri tutawabariki, na wakati mnafanya vibaya tutawakemea."
Dr. Vernon Fernandes amesema hayo Februari 6, 2026, wakati wa hafla ya Usimikaji na Uzinduzi wa Uongozi wa Awamu ya Tano wa The Council of Pentecostal Churches of Tanzania (CPCT), iliyofanyika Ukumbi wa Agape Life Church, Mbezi Jogoo, jijini Dar es Salaam.
Soma: