Askofu Emmanuel Bandekile Mwamakula na Askofu Dr. Benson Bagonza, mnalipwa bei gani?

Ringo Malisa

Member
Nov 3, 2019
25
13
Nawazungumzia Askofu Emmanuel Bandekile Mwamakula na Askofu Dr. Benson Bagonza. Nimekuwa nikitafakari sana kuhusu watumishi hawa wapakwa mafuta wa kanisa hapa nchini. Nashindwa niwaweke kundi lipi lakini naona niwaite watumishi wa kanisa.

Wakati Taifa lilipopitia wakati mgumu wa maambukizi dhidi ya corona, sikubahatika kuwasikia wakisema tufanye nini kama wafuasi wao makanisani zaidi ya kubeza juhudi za Mhe. Rais wa Nchi Dkt. John Pombe Joseph Magufuli pale aliposema tufunge kwa muda wa siku tatu na kumlilia Mungu aiponye Nchi yetu dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa corona.

Swali langu ni je! kama kwa namna moja ama nyingine mnatumwa na baadhi ya watu wasioupenda Utawala wa awamu hii ya tano, ni kiasi gani cha pesa mnacholipwa ili kuhakikisha watanzania wanaingiwa upofu wa kutoyaona mambo mengi na mazuri ambayo serikali ya Rais Magufuli imewafanyia watanzania? Na je! mnatolea fungu la kumi kiasi hicho cha pesa mnacholipwa? Inatesa sana akili yangu.

Kwa kuwa ninyi ni waandishi wazuri sana mlioona uandishi haulipi mkachagua usaliti wa Nchi pengine unalipa vizuri, naomba mje na makala za kutosha kuiridhisha akili yangu. Wakati huo mfahamu kuwa endapo adhima yenu itafanikiwa na nchi ikaingia kwenye machafuko (VITA), hakika hamtaweza kuabudu na hata sadaka hamtazipata tena. Tupone katika hili. Asanteni sana
 
Mkuu wakati kiongozi wa nchi akisistiza wananchi waendelee kuomba Mungu wewe ulitaka Hao uliowataja wawekinyume na Rais wakati wao ndy viongozi wa waamini? Kuna watu ni wafitini sana..andikeni hoja elimishi ,wewe ni wapi uliowataja wamebeza yanayofanyika na serkali?tupe mifano hapa.

Tujue. Tupambanue mana kwenye hoja yyte kuna kusoma na kuelewa dhima ama kusoma tu Kama Kasuku!! Tulipokua shule tulipewa comprehension kaz kuu ilikua kutuandaa watu kujua kusoma na kutafakar. Mtoa mada umekua unasahau kazi ya comprehension!!
Andika upya watu wakuelewe Nia yako vingnevo ninyi ni Wafitini tu...
 
Upumbavu ni kipaji. Yaani mtu alipwe ili awashawishi Watanzania kutoona "mazuri" aliyofanya Mh. JPM!!??
Kwa kuwa wewe walipwa "kuabudu,kusifu na kupamba",basi unategemea kila mtu yupo hivyo. Vijana acheni kufanywa "men's ball",kula kwa jasho lako kama Mwenyezi Mungu Muumba alivyotuambia kwenye Mwanzo 3: 17 - 19.
 
Nawazungumzia Askofu Emmanuel Bandekile Mwamakula na Askofu Dr. Benson Bagonza. Nimekuwa nikitafakari sana kuhusu watumishi hawa wapakwa mafuta wa kanisa hapa nchini. Nashindwa niwaweke kundi lipi lakini naona niwaite watumishi wa kanisa. Wakati Taifa lilipopitia wakati mgumu wa maambukizi dhidi ya corona, sikubahatika kuwasikia wakisema tufanye nini kama wafuasi wao makanisani zaidi ya kubeza juhudi za Mhe. Rais wa Nchi Dkt. John Pombe Joseph Magufuli pale aliposema tufunge kwa muda wa siku tatu na kumlilia Mungu aiponye Nchi yetu dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa corona.

Swali langu ni je! kama kwa namna moja ama nyingine mnatumwa na baadhi ya watu wasioupenda Utawala wa awamu hii ya tano, ni kiasi gani cha pesa mnacholipwa ili kuhakikisha watanzania wanaingiwa upofu wa kutoyaona mambo mengi na mazuri ambayo serikali ya Rais Magufuli imewafanyia watanzania? Na je! mnatolea fungu la kumi kiasi hicho cha pesa mnacholipwa? Inatesa sana akili yangu. Kwa kuwa ninyi ni waandishi wazuri sana mlioona uandishi haulipi mkachagua usaliti wa Nchi pengine unalipa vizuri, naomba mje na makala za kutosha kuiridhisha akili yangu. Wakati huo mfahamu kuwa endapo adhima yenu itafanikiwa na nchi ikaingia kwenye machafuko (VITA), hakika hamtaweza kuabudu na hata sadaka hamtazipata tena. Tupone katika hili. Asanteni sana​
UTOPOLO
 
Mwamakula anatafuta kiki! Anaongoza kadhehebu fulani ambako hakajulikani. Amebaki kurukia matukio na kutoa matamko yenye kuelemea upande moja, tena kwa uwazi
 
Hawa watu wanakula kilaini bila jasho. Mtu anakuambia Mungu anakupemda nawe unaingia mfukono unampa sadaka akale bata.
 
Nawazungumzia Askofu Emmanuel Bandekile Mwamakula na Askofu Dr. Benson Bagonza. Nimekuwa nikitafakari sana kuhusu watumishi hawa wapakwa mafuta wa kanisa hapa nchini. Nashindwa niwaweke kundi lipi lakini naona niwaite watumishi wa kanisa.

Wakati Taifa lilipopitia wakati mgumu wa maambukizi dhidi ya corona, sikubahatika kuwasikia wakisema tufanye nini kama wafuasi wao makanisani zaidi ya kubeza juhudi za Mhe. Rais wa Nchi Dkt. John Pombe Joseph Magufuli pale aliposema tufunge kwa muda wa siku tatu na kumlilia Mungu aiponye Nchi yetu dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa corona.

Swali langu ni je! kama kwa namna moja ama nyingine mnatumwa na baadhi ya watu wasioupenda Utawala wa awamu hii ya tano, ni kiasi gani cha pesa mnacholipwa ili kuhakikisha watanzania wanaingiwa upofu wa kutoyaona mambo mengi na mazuri ambayo serikali ya Rais Magufuli imewafanyia watanzania? Na je! mnatolea fungu la kumi kiasi hicho cha pesa mnacholipwa? Inatesa sana akili yangu.

Kwa kuwa ninyi ni waandishi wazuri sana mlioona uandishi haulipi mkachagua usaliti wa Nchi pengine unalipa vizuri, naomba mje na makala za kutosha kuiridhisha akili yangu. Wakati huo mfahamu kuwa endapo adhima yenu itafanikiwa na nchi ikaingia kwenye machafuko (VITA), hakika hamtaweza kuabudu na hata sadaka hamtazipata tena. Tupone katika hili. Asanteni sana
Upuuzi mtupu....na mzee wa upako na pengo mnawalipa sh ngapi
 
BEI?
Bei?
Andika kiswahili sanifu!!
 
We dogo tulia hivyo ni vichwa sio maaskofu uchwara wanasoma chuo cha bibilia miezi mitatu halafu wanajiita maaskofu.
 
Back
Top Bottom