Mku umejuaje ni tarabu wakati ujumbe tumeupata au ndio ukweli unaumaAskofu anapokuwa mwimba taarabu!! Mmmh!!

Mungu akubariki Askofu Dr. B Bagonza. Huyu ni level zingine.Hatuna duka linalouza hekima. Hakuna mganga wa kienyeji toka Sumbawanga anayeweza kuzindika hekima. Hatuna daktari wa kufanya operesheni kuingiza hekima kichwani. Hakuna muujiza wa maombezi kuingiza hekima vinywani na kwenye bongo zetu.
Uzoefu (experience), haina mbadala. Twazingatia:
-Ukiwa mwongo, usiwe msahaulifu.
- Ukijifunza wizi, jifunze na kukimbia.
- Ukikosa uaminifu, jifunze uangalifu.
- Usibadili aibu kuwa hasira.
-Asojua ubaya wa makalio, huyageuza mto wa kulalia.
- Waweza kuwadharau siafu, lakini huwezi kuwakalia.
- Nyumba yenye njaa, haikosi kelele.
Mungu wetu ni msingi wa demokrasia. Aliumba wenye nguvu na wanyonge, wajinga na werevu, watawala na watawaliwa. Uhuru wa mihimili ni utashi wa muumba ili amani iwepo. Mungu akikupa nguvu anakunyima hekima ili ushauriwe; akikuumba mfupi, anakupa akili za kutumia warefu wakuchumie maembe. Dunia ya wafupi tu ni taabu. Ya warefu tu ni balaa. Ya wababe tu, mnyonge ndiye kiongozi.
Maisha yakiwa magumu, wote tunageuka wana falsafa. Tunda letu limepotea, humu ndani hapakaliki. Aliyekula na aliyekosa, wote wanalia.
Tuwahi nyumbani, ofisini hapakaliki na mitaani mafuriko.
Hatuna duka linalouza hekima. Hakuna mganga wa kienyeji toka Sumbawanga anayeweza kuzindika hekima. Hatuna daktari wa kufanya operesheni kuingiza hekima kichwani. Hakuna muujiza wa maombezi kuingiza hekima vinywani na kwenye bongo zetu.
Uzoefu (experience), haina mbadala. Twazingatia:
-Ukiwa mwongo, usiwe msahaulifu.
- Ukijifunza wizi, jifunze na kukimbia.
- Ukikosa uaminifu, jifunze uangalifu.
- Usibadili aibu kuwa hasira.
-Asojua ubaya wa makalio, huyageuza mto wa kulalia.
- Waweza kuwadharau siafu, lakini huwezi kuwakalia.
- Nyumba yenye njaa, haikosi kelele.
Mungu wetu ni msingi wa demokrasia. Aliumba wenye nguvu na wanyonge, wajinga na werevu, watawala na watawaliwa. Uhuru wa mihimili ni utashi wa muumba ili amani iwepo. Mungu akikupa nguvu anakunyima hekima ili ushauriwe; akikuumba mfupi, anakupa akili za kutumia warefu wakuchumie maembe. Dunia ya wafupi tu ni taabu. Ya warefu tu ni balaa. Ya wababe tu, mnyonge ndiye kiongozi.
Maisha yakiwa magumu, wote tunageuka wana falsafa. Tunda letu limepotea, humu ndani hapakaliki. Aliyekula na aliyekosa, wote wanalia.
Tuwahi nyumbani, ofisini hapakaliki na mitaani mafuriko.
Ngoja tuwasubirie watoto wamelala badoimegusa pande zote
Yule hana tofauti na slow ila naona teuzi zinampitia kushoto aongeze spid ya kusifu na kuabudu kesho yake yaja asikate tamaa.Sio Dr Bana heading inasema Bagonza!!
Bana yupo kwenye waiting list muda sasa hawezi pata akili ya kuongea haya
Anamfikishia ujumbe nani?? Kwani kuna mtu hana hekima nchi?Hii si busara kabsa na hii mipasho ya KIPUUZI...Anachofanya huyu Askofu ni siasa zenye chuki binafsi kwa anaemfikishia ujumbe...Nchi hii ina maaskofu wa ngapi?...kwanini kila siku ni yeye tu
Falsafa huwa haisomwi kama inavyoandikwa!!Duuuh. Nilidhani atasema wezi waache wizi na kumcha MUNGU, kumbe wanatakiwa wajifunze kukimbia tu. Biblia gani amayatoa hayo?
Falsafa huwa haisomwi kama inavyoandikwa!!
Kwa taarifa yako huyo Bagonza namfahamu kuliko wewe.Mie siongelei falsafa. Naongelea biblia. Falsafa ni ya kwenu msioamini.
Wanatheolojia wenyewe wanasema kwamba Yesu alikuwa ni mwanafalsafa. Kwani Falsafa ni Upagani?Mie siongelei falsafa. Naongelea biblia. Falsafa ni ya kwenu msioamini.
Hii ni zaidi ya habari kwangu tu lakini.Hatuna duka linalouza hekima. Hakuna mganga wa kienyeji toka Sumbawanga anayeweza kuzindika hekima. Hatuna daktari wa kufanya operesheni kuingiza hekima kichwani. Hakuna muujiza wa maombezi kuingiza hekima vinywani na kwenye bongo zetu.
Uzoefu (experience), haina mbadala. Twazingatia:
-Ukiwa mwongo, usiwe msahaulifu.
- Ukijifunza wizi, jifunze na kukimbia.
- Ukikosa uaminifu, jifunze uangalifu.
- Usibadili aibu kuwa hasira.
-Asojua ubaya wa makalio, huyageuza mto wa kulalia.
- Waweza kuwadharau siafu, lakini huwezi kuwakalia.
- Nyumba yenye njaa, haikosi kelele.
Mungu wetu ni msingi wa demokrasia. Aliumba wenye nguvu na wanyonge, wajinga na werevu, watawala na watawaliwa. Uhuru wa mihimili ni utashi wa muumba ili amani iwepo. Mungu akikupa nguvu anakunyima hekima ili ushauriwe; akikuumba mfupi, anakupa akili za kutumia warefu wakuchumie maembe. Dunia ya wafupi tu ni taabu. Ya warefu tu ni balaa. Ya wababe tu, mnyonge ndiye kiongozi.
Maisha yakiwa magumu, wote tunageuka wana falsafa. Tunda letu limepotea, humu ndani hapakaliki. Aliyekula na aliyekosa, wote wanalia.
Tuwahi nyumbani, ofisini hapakaliki na mitaani mafuriko.
Akili ni kama nywele mazeeHatuna duka linalouza hekima. Hakuna mganga wa kienyeji toka Sumbawanga anayeweza kuzindika hekima. Hatuna daktari wa kufanya operesheni kuingiza hekima kichwani. Hakuna muujiza wa maombezi kuingiza hekima vinywani na kwenye bongo zetu.