Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,162
- 27,197
Kumekucha leo kwenye nyumba za Ibada habari ni uchaguzi , uchaguzi ndio habari.
Askofu wa KKKT Dr. Bagonza Leo kawaambia waumini wake njia ya kulinda kura zao ni kukaa nazo ila wakitumbukiza kwenye sanduku la kura imekula kwao. 😂
Oktoba ipo karibu sana tutajuonea mengi. Mungu tusaidie kuvuka salama