Askofu Bagonza akosoa kauli ya 'Aliyepewa mimba asirudi', ahoji makosa ya viongozi yangekuwa mimba, wangekuwa na ngapi?

Status
Not open for further replies.
HUYU SI ASKOFU WA KUTUNUKIWA BALI WA KUJITUNUKU.
MAMA SALMA KIKWETE ANAMZIDI FALSAFA YA MAMBO YA DINI, MILA NA DESTURI KUHUSU KUPATA MIMBA KWA NJIA ZA UZINZI.
MAMA SALMA ALISEMA MTOTO WA KIKE AKIBEBA MIMBA, AMETENDA DHAMBI NA PIA KIMILA HAIKUBALIKI.
MTOTO WA KIKE AKIBEBA MIMBA KWA KUBAKWA ATAKUWA AMETANDA DHAMBI BILA KUKUSUDIA NA HII TUNAMWACHIA YEYE NA MUNGU WAKE.
KISERIKALI KUTOKURUHUSU MSICHANA KURUDI SHULENI BAADA YA KUJIFUNGUA KUNASAIDIA SANA KUPUNGUZA IDADI YA MIMBA SHULENI KWA SABABU INAMFANYA MTOTO WA KIKE KUKWEPA KUFANYA NGONO ZEMBE NA KUJIACHIA AKIJUA KUWA HATA AKIBEBA MIMBA ATARUDI SHULENI.
Jifunzeni elimu haina mwisho...bado mnahitaji elimu mambo mengi watanzania hamjui... Nyie ndio wale wale mnaopandisha bei za mafuta ya taa ili wasichakachue petrol... Uwezo wa watanzania kutumia ubongo ni mdogo sana..
Pole sana ndio elimu yetu hatuna wa kumlaumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poor Bagonza!

If you know your enemy than yourself you shall never suffer a defeat
 
Tanzania tunahitaji viongozi wa dini ambayo wanaweza kuongea ukweli bila unafiki kama huyu Askofu ameongea ukweli kabisa.
 
Askofu Benson Bagonza anafahamika vizuri hata kabla hajawa Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. Akitumia matoleo na sadaka za wakristu tena masikini aliunga mkono na kusaidia wagombea wote wa upinzani katika jimbo la Karagwe na Kyerwa mwaka 2000, 2005, 2010 na 2015. Mtandao wake wote unafahamika na hana jipya huyo. Dayosisi ya Karagwe imemshinda na amewaletea waamini mgawanyiko mkubwa, leo anaanza kumsakama Mhe. Rais wetu kwa kutumia lugha ya picha. Ashindwe kwa Jina la Yesu aliye HAI pamoja na hila zake zote. Muache Rais wa wanyonge aendelee kutupigania Watanzania.
Jipya analo kwani wanaokatishwa masomo ni watoto wetu. Mtetezi mwenye faida wananchi ndo tunamtaka kwa ajili kuwasemea mimi ambaye sina pa kusema.

Baba askofu ushukuriwe kwa kazi kubwa ya kutusemea .

Unaacha kujadili hoja, unajadili mtu.
poor you.

=======

Unaandika kana kwamba wewe ndiye uliyeleta clip ya huyo Askofu ili uipotoshe. Nikiisikiliza sioni unachosema maana hata mheshimiwa rais wetu hajatajwa katika hiyo clip.
 
Askofu Benson Bagonza anafahamika vizuri hata kabla hajawa Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. Akitumia matoleo na sadaka za wakristu tena masikini aliunga mkono na kusaidia wagombea wote wa upinzani katika jimbo la Karagwe na Kyerwa mwaka 2000, 2005, 2010 na 2015. Mtandao wake wote unafahamika na hana jipya huyo. Dayosisi ya Karagwe imemshinda na amewaletea waamini mgawanyiko mkubwa, leo anaanza kumsakama Mhe. Rais wetu kwa kutumia lugha ya picha. Ashindwe kwa Jina la Yesu aliye HAI pamoja na hila zake zote. Muache Rais wa wanyonge aendelee kutupigania Watanzania.
Mbona tunaukumbatia unyonge kama vile ni sifa kuwa mnyonge?. Nchi huru bado tunaimba wimbo wa unyonge? Ni aibu kuendelea kuwa na taifa huru la wanyonge!!
 
Jipya analo kwani wanaokatishwa masomo ni watoto wetu. Mtetezi mwenye faida wananchi ndo tunamtaka kwa ajili kuwasemea mimi ambaye sina pa kusema.

Baba askofu ushukuriwe kwa kazi kubwa ya kutusemea .

Sent using Jamii Forums mobile app

Shida siyo maoni aliotoa Askofu Bagonza juu ya wanafunzi wanaopata mimba. Akitumia lugha ya picha, amemuonea na kumshambulia Mhe. Rais bila sababu na hii siyo mara ya kwanza. Binafsi ninamfahamu, Askofu Benson Bagonza ana mtazamo hasi kwa Mhe. Rais wetu. This should STOP, period!
 
Nilichangia bila kusikiliza hiyo clip..sasa nimeisikia ni maneno makali sana....kwa kiongozi mwenye hofu ya Mungu asa yule anayesema anamtanguliza Mungu mbele na kila siku kuomba aombewe...ajitathimini kwa kauli zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HUYU SI ASKOFU WA KUTUNUKIWA BALI WA KUJITUNUKU.
MAMA SALMA KIKWETE ANAMZIDI FALSAFA YA MAMBO YA DINI, MILA NA DESTURI KUHUSU KUPATA MIMBA KWA NJIA ZA UZINZI.
MAMA SALMA ALISEMA MTOTO WA KIKE AKIBEBA MIMBA, AMETENDA DHAMBI NA PIA KIMILA HAIKUBALIKI.
MTOTO WA KIKE AKIBEBA MIMBA KWA KUBAKWA ATAKUWA AMETANDA DHAMBI BILA KUKUSUDIA NA HII TUNAMWACHIA YEYE NA MUNGU WAKE.
KISERIKALI KUTOKURUHUSU MSICHANA KURUDI SHULENI BAADA YA KUJIFUNGUA KUNASAIDIA SANA KUPUNGUZA IDADI YA MIMBA SHULENI KWA SABABU INAMFANYA MTOTO WA KIKE KUKWEPA KUFANYA NGONO ZEMBE NA KUJIACHIA AKIJUA KUWA HATA AKIBEBA MIMBA ATARUDI SHULENI.
Na ikitokea amepata, inasaidiaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom