Askofu Ashutumiwa kubaka huko Mwanza

Status
Not open for further replies.

Kanisa si jengo.alafu kukurupuka na mstari bila kujua muktadha wa neno hilo ni upuu....z.Ktakacho msaidia mtu kwenda pepon si mihemko kama yako wala kanisa au msikit unao sali.ni matendo yako.Sasa jitafakari wewe kwanza peponi unaenda?
 
Tumeshuhudia Aisha akibakwa na watoto wa kiume wa Ali wakipigwa romsnce(French kiss) na mtume. pengine tujue kesi ya mj tujue alikuwa akiwa -do kitu gani watogo.So ubakaji haukuanz Leo.every toungue the prophet kissed will not tormented in the hell fire. Why?
 
Kanisa si jengo.alafu kukurupuka na mstari bila kujua muktadha wa neno hilo ni upuu....z.Ktakacho msaidia mtu kwenda pepon si mihemko kama yako wala kanisa au msikit unao sali.ni matendo yako.Sasa jitafakari wewe kwanza peponi unaenda?

HAKUNA BINAADAMU YYT ANAEJUA kuwa ATAENDA PEPONI au la!
Ispokuwa WAGALATIA TU! Wao hudanganyana kila siku kwa kupeana pepo ZA KINAFIKI na hao wachungaji wao.

Yaani jitu zima na akili yake linaenda kwa Padri ETI KUSAMEHEWA DHAMBI wakati PADRI MWENYEWE MBAKAJI!

Wajinga kweli ni mizigo.
 
Hata wewe ni mbaya kwani umefanya mangapi? Au kwa kua huitwi Askofu au Mchungaji? CHunga sana sempa101
 

Wewe umejaza kichwani nothing moyoni huna Mungu mabegani mizigo. Ndivyo unatoaga ile ishara yako unasema ya msalaba, kha, yaani unatuma watu wakampigie papa magoti badala wakampigie Mungu Mwenye Enzi, Kwa Bwana Yesu Kila ndo litapigwa.
 
mwislam aliyebaka mtoto kule lindi kesi yake ilitolewa hukumu ndani ya kipindi kifupi sana hazikuzidi siku 60 subiri sasa kwa huu upande wa pili kesi itakavyochukua miaka na miaka kutolewa hukumu, kama mnakumbuka ile kesi iliyomuhusisha mchungaji kule mbeya kwa kumbaka binti kwa kumuahidi kumsomesha, kesi ilichukua miaka na miaka
 

huko kwa papa watoto si ndo wanakonajisiwa?
 

ni kweli usemayo makanisa mengi kwa sasa hayana maana kabisa zaid ya kuwa wafuasi wa mapepo
hawataki kutubu kila mtu anataka kuwa mchungaji kwa kuwa anajua kusoma biblia.
 
Askofu wa Kanisa la Tanzania Field Avangelism ,Edson Mwombeki(42) amefikishwa mahakamani kwa kosa la kumbaka mwanafunzi mwenye miaka 16.

Mwanafunzi huyo alikwenda nyumbani kwa Askofu kujisomea pamoja na binti wa Mwombeki.

credt:Mwananchi.

Umefanya uchunguzi wa kina au ndo unatuletea tukupa data?
 
kahtaan hii haikuhusu au imekuchoma,teh!
 
Umefanya uchunguzi wa kina au ndo unatuletea tukupa data?

Uchunguzi gani unaotaka wewe!?
Au mpaka Uskie BBC?

Haya soma hapa uone KULE KWENYE KANISA MAMA WANAFANYA NINI!


Wabakaji kila kona ya KANISA!
 
Maaskofu,mapasta,wachungaji wabaya sana eti wanaitwa watumishi wamungu,badala yakuitwa watumishi shetani

Mkuu ukijumuisha wote unakosea! Sidhani kama ni wote bali ni baadhi tu wenye hizo tabia chafu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…