born again pagan
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 2,333
- 1,500
Hakuna cha KUTUHUMIWA HAPA.
ASKOFU WA YESU wa msalabani KABAKA. FULL STOP.
Na hawa VIONGOZI WA KIKIRISTO WANABAKA KILA SIKU.
Wamo wengi humu wanaowatetea hawa mShetani kina musami aka MaxShimba 2013 na Makafiri wengine.
Hii IMANI NI YA KISHETANI.
Tumechoka, nasema tumechoka,
Bora wananchi wanyonge tu watu kama hawa.
Na dhambi pekee wanayoipenda hao MAASKOFU NA MAKADINALI na wengineo NI KUBAKA NA KULAWITI TU!?
Na wakijitahidi kupunguza kasi basi ni BIASHARA YA UNGA.
Aisee! Hawa ni kupiga marfuku HII IMANI TU. Full stop.
Na watu km hawa ni KUNYONGA TU!
Yaani H
Mungu Mwenyezi ataimaliza tu.
Insha Allah.
Aliyenyolewa ni nani hapa?
Mbakaji? Au yule ALIYEBAKWA?
Manake haya mafumbo mengine isije ikawa unawaambia wanakondoo wakae tayari kubakwa tu!
Hao VIONGOZI WA MAKANISA wanaobaka wanatakiwa WAKANYONGWE TU!
Watamaliza WATOTO WA WATU.
Mungu Mwenyezi ataimaliza tu.
Insha Allah.
Sasa KAMA MAASKOFU WANABAKA KILA SIKU.
Kanisa KUU DUNIANI umoja wa Mataifa UNAPIGA KELELE KUHUSU HII LAANA.
Hivi nani atakaebaki ktk Huo UKRISTO?
Nakuwekea hap ushahidi wa VIONGOZI WA JUU KABISA WA UKRISTO WALIOKAMATWA kwa makosa ya KULAWITI na KUNAJISI WATOTO.
Na hao ndio WALIOKULETEA WEWE HIO IMANI.
Je wewe utanusurika?
Watoto waende wapi sasa?
Kanisani wanabakwa,
Shule wanatekwa na alshabab,
Msikitini??
Kristo alisema analijenga kanisa katika mwamba imara ni malango ya kuzimu hayataliweza. Kumbuka pia nabii Eliya alienda kwa Mungu kulalamika kuwa manabii wote wameuwawa na amebakia pekee Mungu akamjibu kuwa wako manabii elfu wengine ambao hawasujudu ktk madhabahu ya baari. Hivyo Mkuu Mungu ana watu wengi sana wanaomcha na wengine wanazaliwa. Hivyo wanaobaka wanakwenda jela kizazi kingine chenye kiu ya Mungu kimainuka na kuchukua nafasi.
Hivi siku hizo hiki cheo cha Uaskofu hakina maana au kulikoni? Utakuta mtu ameishia darasa la Saba tu anajifunza biblia Mara utasikia mchungaji and after a year ameshakuwa askofu .,....imakuaje sasa? Ndo Hawa ambao sasa hawana maadili
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hapa atakuja kafiri Fulani ataanza kuleta aya zake zakutunga kugeuza Uzi
Wanabaka,wanalawiti,mwisho wameowa mpaka mbwa,sijui Dada zao na wao wakiolewa na mbwa watalalamika!
Mtu achore picha atengeneze sanamu halafu analiabudu eti mungu kuna ujinga zaidi ya hicho?
Kubaka hakuna darasa ni dhambi na utovu wa nidham.ata prof Juma si alibaka au?
Askofu wa Kanisa la Tanzania Field Avangelism ,Edson Mwombeki(42) amefikishwa mahakamani kwa kosa la kumbaka mwanafunzi mwenye miaka 16.
Mwanafunzi huyo alikwenda nyumbani kwa Askofu kujisomea pamoja na binti wa Mwombeki.
credt:Mwananchi.