Askofu anaswa na Madawa ya Kulevya

Huyu sura yake inaonyesha si mtu wa dini - wanatumia dini visivyo laana kubwa
 
Ungeandika hivi " TAPELI LA KI NIGERIA LINALOJIFANYA ASKOFU LANASWA NA DAWA ZA KULEVYA" Brother unavyotumia neno askofu ni neno takatifu sana sio watu wanaochipuka kama uyoga na kujiita wenyewe maaskofu bila ya kupitia taratibu za kanisa Takatifu Katoliki La Mitume, basi na wewe unaandika askofu
 
yaani umekosa point ya kutetea then unamshuhudia jirani yako uongo...........sijajua ni upande gani ambao umeruhusu WAZIWAZI MASHOGA kuwa VIONGOZI wa KIROHO
 
Kwani we huoni gazeti la mlokole shigongo alivyoandika? Yeye amenukuu tu
 
Jamaani tujihadhari sana na hawa wanaojiita viongozi wa dini, ninachosikitika ni kwa watu kuwa wepesi sana wa kuwaamini. Ingekuwa imeandikwa "askofu" huyu anatuhumiwa kwa kuuza madawa ya kulevya wengi wangetoka povu humu kwa kumtetea......tujiangalie pale tulipo simama tusije tukaanguka....
 
Si rahisi mhuni kutoka Nigeria akaja akaanzisha msikiti contrary to Wachungaji ambao wanakuja wanapata wafuasi kirahisi kitu ambacho waislamu hawawezi kukubali.
Hii kweli kabisa,waislam wakikugundua huendani na maamrisho ya Allah wanakutoa baro hapo hapo hakuna kusema eti fuata maneno sii matendo yangu
 

Huyo polisi nomaaaa
 

Huko Roma, Maaskofu wanakula 'viboga' vya kondoo wao. Juzi kati papa aliwaita Maaskofu waujadili ushoga. Bahati mbaya kura hazikutosha !
 
Mbona hatusikii Sheikh kanaswa na unga?kila kukicha askofu nabii mchungaji

ktk biashara ya unga,utajiri nk,hawa ni zaidi ya mashehe 10 maarufu wa tz; Ali Khatibu Haji shikuba na Mharami Mohamed Abadallah ‘Chonji’.
 

Askofu alikuwa Dr. T. O Laizer (RIP) Bwana!
 
Hizi dini ni matatizo tu ni kama kiini macho tu ni bora usiwe na imani ya hizi dini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…