Askofu wa Kanisa la Blessing Alter lililopo mkoani Arusha, Isaya Sizya, amesema anashangazwa...
huyu ni kilaza sana anatumia siasa kujitanua....namashaka kama huyu mchungaji anajua wajibu wake kanisa lenyewe lipo arusha tena uchochoroni yeye mwenyewe ndo askofu na mchungaji alijichagua mwenyewe.....apeleke matatizo yake afanye mkakati aongeze waumini wachana na siasa.....
Askofu wa Kanisa la Blessing Alter
Unanikumbusha mbali sana mkuu!mwaka 2005 viongozi wa dini ya kikristu waliposema JK ni chaguo la mungu waislamu na wana CCM walifurahi sana na ilipofika 2010 waliposema JK hafai wakaitwa wadini!!kichekesho!na wewe unarudia yale yale maaskofu wanakuwa wazuri tu pale wanapoikosoa CHADEMA,wakiisifu mnawaita wadini!!kichekesho kingine!Mpaka viongozi wa dini wanawashangaa CDM, Baba Askofu endelea kuhubiri Amani ili nchi yetu isingie kwenye vita
Askofu wa Kanisa la Blessing Alter lililopo mkoani Arusha, Isaya Sizya, amesema anashangazwa na hatua ya Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kukataa mwafaka uliofikiwa hivi karibuni na kuondoa chuki na hofu miongoni mwa wakazi wa Arusha.
Pia askofu alimtaka Mbunge huyo kutimiza ahadi zake alizozitoa wakati wa uchaguzi ambazo alidai kuwalaghai wananchi kuzitekeleza ndani ya miezi sita.
Alisema Lema alipokuwa kwenye kampeni za uchaguzi aliahidi kwa wananchi kujenga kituo kikuu cha mabasi Ngulelo na Kisongo, jengo la Machinga Complex, hospitali kubwa tatu, mfumo wa majitaka na barabara.
Alisema tangu alipoingia madarakani hajawahi kuitisha mkutano na wananchi na kuwaeleza ahadi ngapi amezitekeleza badala yake amekuwa akiendesha siasa za majitaka ambazo hazilengi kuleta maendeleo badala yake zinaleta chuki kwa madiwani na wananchi.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Askofu Sizya alisema viongozi wa dini walikuwa wakifunga na kusali juu ya amani mkoani hapa na kusisitiza kuwa viongozi hao hawataki kuona damu ya wanaArusha ikirudia kumwagika tena.
Askofu Sizzya alisema Lema anapaswa kuacha siasa za vurugu na vitisho kwa madai ya kutotambua mwafaka wa kumtambua Meya, Gaudence Lyimo na Naibu Meya Estomi Mallah.
Alisema kupinga mwafaka ni kuendeleza unazi wa kisiasa ambao hauna maana hivyo Lema anapaswa kuheshimu makubaliano ya mwafaka ya viongozi wengine yaliyofuata taratibu zote na moja ya sifa ya kiongoi bora ni kuheshimu watu na viongozi wengine.
Source: IPP MEDIA

Wakiristo mkachukia?Unanikumbusha mbali sana mkuu!mwaka 2005 viongozi wa dini ya kikristu waliposema JK ni chaguo la mungu waislamu na wana CCM walifurahi sana na ilipofika 2010 waliposema JK hafai wakaitwa wadini!!kichekesho!na wewe unarudia yale yale maaskofu wanakuwa wazuri tu pale wanapoikosoa CHADEMA,wakiisifu mnawaita wadini!!kichekesho kingine!
Leo nilikuwa sijacheka..ila imebidi. Nashukuru mkuu, you made my day!!nani kamvalisha Dr.Hilo shati?naomba amvue haraka