Askofu akimbia makazi Zanzibar

Jicho la Tai

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
1,449
574
Kuna askofu wa kanisa la anglikana wa zanzibar Michael Hafidh amekimbia makaz zanzibar kwa kuhofia usalama wake mara baada ya kutishiwa na UAMSHO.
Chanzo: BBC
 
Ni Askofu wa Anglicana na Askofu Shayo wa Kanisa katoliki. Alohojiwa na BBC ni yule mwanglicana na yeye mwenyewe akasema kuwa Askofu Shayo pia amekimbia!!!
 
Jumuia ya uamusho wametoa onyo kuwa kama amiri wao hajapatikina mpaka leo basi watachinja mapdri na polisi. Jana waliekwenda makaburini na kungoa misalaba yote ya makaburi na kuitupa barabarani na kuharibu hosteli inayomilikiwa na kanisa la Anglicana mkunazini.
 
wakristo ndo wanamshikilia huyo shehe?

Au marehemu (mifupa iliyobaki huko makaburini) ndo inamshikilia shehe?

Raisi wao mkristu?

Makamu mristu?

Hivi wana ubongo vichwani mwao au?
 
Jumuia ya uamusho wametoa onyo kuwa kama amiri wao hajapatikina mpaka leo basi watachinja mapdri na polisi. Jana waliekwenda makaburini na kungoa misalaba yote ya makaburi na kuitupa barabarani na kuharibu hosteli inayomilikiwa na kanisa la Anglicana mkunazini.
Ni kweli hata mm nimesikia, na walifukua makaburi ya wakristo wakazibonda maiti kwa mawe
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Ni kweli hata mm nimesikia, na walifukua makaburi ya wakristo wakazibonda maiti kwa mawe
Mungu wangu!!hawa watu wana akiri sawa swa huku vichwani mwao!!hadi marehemu wanashida nao!!!!
 
Ngoma inogile sasa. Waliambiwa wasiwaangalia nyani usoni wakafanya mchezo sasa nyani kaamka! Ubaya ni kuumia hata wasiokuwemo.
 
kama serikali na vyombo vyake vya dola vipo wanashindwa nini kuchukua hatua za kisheria, isije ikawa janja ya viongozi wenyewe zanzibar kujidai wanalinda wakristo na mali zao kumbe mlango wa nyuma wanasupport kuangamizwa kwa mali za wakiristo, hiyo ni ajenda ya siku nyingi tangu enzi za uhai wa kina ghadaf
 
Ni kweli hata mm nimesikia, na walifukua makaburi ya wakristo wakazibonda maiti kwa mawe

Watu tushawahi kula ban humu kwa kueleza vifungu vya kitabu chao vinavyobainisha kuwa imani hii ina ushetani! Mambo gani haya wanafanya!
 
Back
Top Bottom