Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,840
- 25,367
- Thread starter
-
- #21
Tangia niwaseme wachagga ni wachawi amenichukia wala simjui sasa mtoto wa shule ambaye hajaiva anabalehe saivi utalala naye??Aaah umekiona mkuu? Mana inaonaekana mnajuana, ye kasema wewe ni mmeru πππ
ππππKabla mkongo wangu kuisha nilikuwa nadinyana kila siku ila ulivoisha na imekuwa tabu kuupata basi nachukia ngonoβ¦
Mkuu mwezi wa valentine huu shemeji yukowapi au imeshakua storiKwani mshamba_hachekwi yukwapi? Aje amuulize swali da mau puliizz
Angalia hata wanawake wanaofikishwa vizuri na waume zao, huwa calm sanaIla tuache utani Wakuu, ngono/tendo la Ndoa ni tiba.
Kuna wakati unaweza kumsalimia mtu habari za asubuhi akakurushia ngumi, kumbe hajapata ngono Kwa muda mrefu π
mshamba_hachekwi umesikia? π€£π€£π€£Anakibamia
Aah kumbe lianzia huko, but how sure you are kama ni mtoto wa shule? Ukute ni hustler yuko kitaa na mishe zake, bas tu kaamua kuja ki hivyo hapa jeiefuTangia niwaseme wachagga ni wachawi amenichukia wala simjui sasa mtoto wa shule ambaye hajaiva anabalehe saivi utalala naye??
Anhaaa, Sasa nimekuelewa Mkuu. PoleWanaume wahumu wamesema mie na nyege ndio maana wao kama wao wanataka wajitolee kunipunguzia hizo nyege ,au wanitolee kabisa maana eti nahasira sana na mie mkali wanaomaliziwa nyege hizo.wametuliwa na wapole.
Hawananijui wameshaanza kunisakama
Maua namkatisha jina bana πEeh mji mzito huu, anaitwa mau.. ila mkuu hajataka kuulizwa swali, amesema anaomba aulize kitu kimoja, ambacho ni..
Kifupi: ukiwa husex unakua hauko sawa?
ππππ Nimeachika talaka 3Mkuu mwezi wa valentine huu shemeji yukowapi au imeshakua stori
Aah sawa, but ndo hivyo hajataka kuulizwa swali, anataka ajibiwe yeye, uhusiani wa sex na mood or mental stateMaua namkatisha jina bana π
Ni sahihi MkuuAngalia hata wanawake wanaofikishwa vizuri na waume zao, huwa calm sana
Utaolewa wewe mremboTunakujua wewe ni holizonto polalaizesheni, hutusumbui kichwa
Ila babu enzi zako ulikuwa moto πππNi sahihi Mkuu
Kitu ambacho wengi wa Vijana hawajui ni kuwa hata ugomvi wa wanandoa/wapenzi humalizwa na tendo la Ndoa/ngono
Ukijidai nunda utaitisha hadi Wachungaji/Masheikh lakini hupati solution, lakini katika mazingira hayo hayo ya ugomvi ukiona ameingia bafuni kuoga mfate huko huko π€π
Nimefanya kuwapa abc Vijana ili waache kutusumbua Wazee kwenda kuwasuluhisha huko Mjini.Ila babu enzi zako ulikuwa moto πππ
HahahahahahahahaKabla mkongo wangu kuisha nilikuwa nadinyana kila siku ila ulivoisha na imekuwa tabu kuupata basi nachukia ngonoβ¦
Kwa kweli washindwe wenyewe dawa ya migogoro yao ushawapa ππNimefanya kuwapa abc Vijana ili waache kutusumbua Wazee kwenda kuwasuluhisha huko Mjini.
Imagine unamuuliza Kijana, mara ya mwisho umempa lini Mkeo haki yake ya Ndoa?
Kijana anaanza kuhesabu Calendar, anapata Siku 248, unamuuliza wewe Kuweza hivyo?
Hapo lazima Mume/Mke awe mkali nyumbani kama pilipili π€