Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,840
- 25,367
Sex inapunguza stress af unakua calm, sasa ukiwahupati hiyo unakua na hasira tuu mkali mkali au una feel lonely frequently.Hivi ni lazima uwe na mwanaume kila saa akuridhishe maana hili nalo neno kwa maana humu wengi wanadai kufanya mapenzi eti nilazima .
Wajuzi ambao mnazini kila daily tujulisheni umuhimu wa healthy sex maana mnanichamba eti na shida ya mwanaume sasa sijui nyie wanaume ambao mnahitaji wanawake sijui hamna shida ya wanawake?? Maana mnasema watu hadi kero kama nyie mpo sawa
Tuyajenge mie namjua ninayemtaka ila mtu akija myajenge wengi wanabomoa nani me sio keNjoo inbox tuyajenge
Umeniona kiuhasiliaSex inapunguza stress af unakua calm, sasa ukiwahupati hiyo unakua na hasira tuu mkali mkali au una feel lonely frequently.
Unique Flower unaamin huamini?
Mee kweli una I'd ya hivyoTuyajenge mie namjua ninayemtaka ila mtu akija myajenge wengi wanabomoa nani me sio ke
Sikuelewi unasema ??Mee kweli una I'd ya hivyo
Wanaume wahumu wamesema mie na nyege ndio maana wao kama wao wanataka wajitolee kunipunguzia hizo nyege ,au wanitolee kabisa maana eti nahasira sana na mie mkali wanaomaliziwa nyege hizo.wametuliwa na wapole.Sijaelewa kabisa
AnakibamiaKwani mshamba_hachekwi yukwapi? Aje amuulize swali da mau puliizz
Eeh mji mzito huu, anaitwa mau.. ila mkuu hajataka kuulizwa swali, amesema anaomba aulize kitu kimoja, ambacho ni..Kwani mshamba_hachekwi yukwapi? Aje amuulize swali da mau puliizz
Aaah umekiona mkuu? Mana inaonaekana mnajuana, ye kasema wewe ni mmeru ๐๐๐Anakibamia