Askari wote wanatakiwa kukaa kambini

Askari wote wanatakiwa kukaa kambini

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,706
Reaction score
272,588
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Camillius Wambura amesema polisi wote wanapaswa kukaa kambini ili kurahisisha upatikanaji wao. Kauli hiyo ya kisheria ameitoa alipokuwa akizungumza na askari hao mkoani Kilimanjaro.

Swali dogo ni hili je, itakuwaje kwa wale askari walioanzisha matawi ya familia mitaani?
 
Jana nilienda sehem kupat chakula cha usiku nimefik pale kuna askar wale kikosi cha FFU nae alikua anapat msosi huku anasikiliza nondo za tundulisu sjui ata ulikua mjadala gan ule coz hakuweka headphone aliwek saut kubwa 😂😂 moyon nikajisema duuh kumb wana wanamuelewa san ila ndo ivo tena
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Camillius Wambura amesema polisi wote wanapaswa kukaa kambini ili kurahisisha upatikaji wao. Kauli hiyo ya kisheria ameitoa alipokuwa akizungumza na askari hao mkoani Kilimanjaro.

Swali dogo ni hili je, itakuwaje kwa wale askari walioanzisha matawi ya familia mitaani?
Watapigana risasi hawa kwa wivu wa kimapenzi.
 
Mtu kajijengea kajumba kake kazuri ili asihi viizuri na familia yake wanalazimisha akaishi kwenye vibanda vya bati chini mpk juu (full suit)
Walio nacho hawana huruma na hawa wa chini, wao wakubwa hawakai kwenye yala mabati wanakaa mahala pazuri na viyoyozi juu
 
Jana nilienda sehem kupat chakula cha usiku nimefik pale kuna askar wale kikosi cha FFU nae alikua anapat msosi huku anasikiliza nondo za tundulisu sjui ata ulikua mjadala gan ule coz hakuweka headphone aliwek saut kubwa 😂😂 moyon nikajisema duuh kumb wana wanamuelewa san ila ndo ivo tena
Ni vile tu hawawezu kuvujisha siri wanamkubali vibaya mno. Sema tu viapo.

Hatuhitaji kusema sana kuhusu hili.
 
Jana nilienda sehem kupat chakula cha usiku nimefik pale kuna askar wale kikosi cha FFU nae alikua anapat msosi huku anasikiliza nondo za tundulisu sjui ata ulikua mjadala gan ule coz hakuweka headphone aliwek saut kubwa moyon nikajisema duuh kumb wana wanamuelewa san ila ndo ivo tena
Aiseee
 
Kambini au mabatini?wajenge nyumba zenye hadhi ya kuitwa kambi,siyo hizi kama kambi za wavuvi.Jeshi la sasa siyo la zamani,mtu anakaa kambini wee hajui kulipa kodi wala maji,umeme,chumba kimoja hapo hapo baba mama watoto,akistaafu ndo anatoka kuona maisha ya nje hapo lazima achangayikiwe akistaafu.Huku wanapokaa wanajifunza ustaarabu,wakikaa kambini kazi kulewa tu na kuibiana wake.
 
Back
Top Bottom