Nibozali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 572
- 1,055
Nakumbuka kama Siyo Rais Kikwete basi ni Magufuli, ambaye aliwahi kuwashauri askari polisi kuwa zile zama za kutembea Bunduki umebeba mgongoni zimekwisha badala yake kila askari anapaswa kutembea silaha ikiwa tayari kwa mapambano, yaani badala ya kuirusha mgongoni ikae mikoni tena ready for shooting just in case.
Mmedharau ushauri huo kwa kuwa mnaamini Tanzania ni waoga hivyo hakuna wa kuthubutu kufanya tendo baya kwenu, mkatembea na fimbo tu muda mwingine.
Kwa nini nayasema haya?
Rekodi ya matukio ya kinyama dhidi ya polisi wetu yakiwemo yale ya kuvamiwa vituo vya polisi na kuua askari yanaonesha polisi hakuwahi kujitetea dhidi ya wavamizi. Kwa tafsiri rahisi ni kuwa polisi wamekuwa wakikutwa silaha ama wametupa mgongoni au sehemu yoyote wakiwa hawawi tayari kwa pambano.
Pia tukio la Jana.
Nawasilisha