Gaspare Mbile
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 1,567
- 1,605
Mwanangu ungekuwepo kuna lijamaa refu hivi limemshika jwt likambana mapajani hakufurukuta,,alafu likachukua T-shirt yake ya kijani likaivua na kuitupa kwenye mtalo cjui lilikuwa lina maanisha nini
Nasikia wale walioenda kujenga pale ukonga kuna kadhaa wametolewa meno baada ya kuleta dharau ,,Ngoja ufungwe ndio utajua
Askari au Nini?
Magereza angalieni kijana analeta jeuri huku maana mnawachekea sana
Magereza wana kikosi ambacho kiko vizuri kuliko FFU wanagonga ngumi hatari sana
umetisha mkuuHili ni la kuchekesha we unasikitikaje?
Matukio kama haya ndio yanafanya mtaa uchangamke....mie huwa nikikuta hivi njiani nasimama hadi mwisho wa show
hahaaaaHii chai Haina sukari
nimekuongezea laikiHili ni la kuchekesha we unasikitikaje?
Matukio kama haya ndio yanafanya mtaa uchangamke....mie huwa nikikuta hivi njiani nasimama hadi mwisho wa show
nimekuongezea laiki
Thenki yu fo ze laiki
Safi Sana , hongera zaoMaeneo ya Buguruni askari wa JWTZ 3 wametwangana na askari magereza
Walianza kurushiana maneno kati ya wale wanajeshi 3 na askari magereza mmoja ndipo wakaanza kurushiana makonde baada ya askari magereza kuona anataka kuzidiwa akapiga simu ndipo baada ya muda mfupi wakatokea majamaa wawili wamevaa T-shirt za kijani nadhani za magereza,,,duh!!
Sikiuamini kama magereza wanajiamini vile kiufupi wameonesha umahiri,wamewachapa wale mabaka baka hadi mmoja nadhani jicho litakuwa limetolewa maana linaonekana kama limechanwa kabisa.
Wametokea traffic wameamua ugomvi na kumchukua mwanajeshi majeruhi hospitality nadhani
Nimesikitika kwanini askari wetu wadhalilishane mbele za RAIA?? Vijana wa kileo wanaoajiliwa maadili hakuna
FFU wadada tu. Pale ukong kazi yao kupiga raia.Acha kuchezea FFU mjomba,embu tembelea Ukonga pale ujionee.Wale jamaa siyo watu wazuri wapo wengine walienda Jordan na Marekani kupata mafunzo ya juu.Mafunzo hayo(madini) ndio wanawalisha FFU wote nchini.
Ni masharti ya mgangaMwanangu ungekuwepo kuna lijamaa refu hivi limemshika jwt likambana mapajani hakufurukuta,,alafu likachukua T-shirt yake ya kijani likaivua na kuitupa kwenye mtalo cjui lilikuwa lina maanisha nini
Vijana wanaoingia kwenye vikosi vyetu,wengi wao hawana nidhamu tangu wakiwa shule,Maeneo ya Buguruni askari wa JWTZ 3 wametwangana na askari magereza
Walianza kurushiana maneno kati ya wale wanajeshi 3 na askari magereza mmoja ndipo wakaanza kurushiana makonde baada ya askari magereza kuona anataka kuzidiwa akapiga simu ndipo baada ya muda mfupi wakatokea majamaa wawili wamevaa T-shirt za kijani nadhani za magereza,,,duh!!
Sikiuamini kama magereza wanajiamini vile kiufupi wameonesha umahiri,wamewachapa wale mabaka baka hadi mmoja nadhani jicho litakuwa limetolewa maana linaonekana kama limechanwa kabisa.
Wametokea traffic wameamua ugomvi na kumchukua mwanajeshi majeruhi hospitality nadhani
Nimesikitika kwanini askari wetu wadhalilishane mbele za RAIA?? Vijana wa kileo wanaoajiliwa maadili hakuna
Kweli mkuu ,,, hata Mimi nina mashaka sana na hii habariTaarifa za jf nazo si za kuziamini sana bila picha ama video.askari mpaka wanakunjana basi hawajatambuana.
Taarifa ya juzi kwamba magereza na polisi wamepigana saa zima na mabomu ya machozi, nimefuatilia ni ujinga mtupu uliandikwa hapa.
Hii nayo yaweza kuwa chai tu.
Riots lazima zitokee uraiani?Kwa ajili ya nini hasa hicho kikosi maana wao hawahusiki na ku deal na riots