Askari watwangana hadharani

Askari watwangana hadharani

Nyakibimbili

Senior Member
Joined
May 4, 2019
Posts
185
Reaction score
286
Maeneo ya Buguruni askari wa JWTZ 3 wametwangana na askari magereza

Walianza kurushiana maneno kati ya wale wanajeshi 3 na askari magereza mmoja ndipo wakaanza kurushiana makonde baada ya askari magereza kuona anataka kuzidiwa akapiga simu ndipo baada ya muda mfupi wakatokea majamaa wawili wamevaa T-shirt za kijani nadhani za magereza,,,duh!!

Sikiuamini kama magereza wanajiamini vile kiufupi wameonesha umahiri,wamewachapa wale mabaka baka hadi mmoja nadhani jicho litakuwa limetolewa maana linaonekana kama limechanwa kabisa.

Wametokea traffic wameamua ugomvi na kumchukua mwanajeshi majeruhi hospitality nadhani

Nimesikitika kwanini askari wetu wadhalilishane mbele za RAIA?? Vijana wa kileo wanaoajiliwa maadili hakuna
 
Hili ni la kuchekesha we unasikitikaje?

Matukio kama haya ndio yanafanya mtaa uchangamke....mie huwa nikikuta hivi njiani nasimama hadi mwisho wa show
Kashindwa kuchukua kavideo 😏
 
Back
Top Bottom